Jukwaa bayaaaaa kama show ya kibisa,show imepooza mno,jamaa sijui kwa nn hana amsha amsha kivile,halafu funga kazi mavazi hasa ile suti la kung'ara ng'ara utafikiri anapigia show huko Chitoholi kwenye harusi
Ana nyumba wapi njoo nikupeleke kwake nyuma ya kituo Cha Makumbusho ... Acheni kuamini story za mitandaoSijui kama anayo lakini atakuwa nayo tu maana uwezi ndinga kali ya vile alafu usiwena nyumba mjini hapa.
Utakuaje no 1 ikawa huna mashabiki wengi mfano mzuri tukio lake hili ni kubwa halijatred kabisa limekosa Kiki, utakuaje no 1 ikiwa nyimbo zako hazina viewers kubwa Kama nyimbo diamond?utakuaje no 1 ikiwa huna show nyingi na zenye ukubwa kuzidi diamond? utakuaje no 1 ikiwa nyimbo zako hazina manunuzi Kama ya nyimbo za diamond?utakuaje no 1 ikiwa ufanyi vizuri international zaidi ya diamond?
hujawahi kuniangusha kwenye ukweli braza wanguHarmonize anajua, ametulia sana
Iko wazi....Wewe ni teja wa domo JF nzima wanafahamu hilo so huna haki ya kujibiwa kwa hoja
hujawahi kuniangusha kwenye ukweli braza wangu
nakuelewa kop mwenzangu huwa upo clearly kabisa.. tatizo hapa naona lipo kwa huyu innocent dependent mbona anaponda sana juhudi za wenzake?Pamoja mwana, kwa nini ujibane kuusema ukweli mzee?
Maua sio mtu wa mtandaoni kwanza tambua hilo huwa sio mtu wa show-off anaweza akawanayo naasiseme ni msanii wa aina ya kina FA watu wa kufanya yao kimya kimya usimchukulie poa mtu wa hivyo.Ana nyumba wapi njoo nikupeleke kwake nyuma ya kituo Cha Makumbusho ... Acheni kuamini story za mitandao
Sent using Jamii Forums mobile app
nakuelewa kop mwenzangu huwa upo clearly kabisa.. tatizo hapa naona lipo kwa huyu innocent dependent mbona anaponda sana juhudi za wenzake?
Kama ni kazi yake sawa.Hahaha, nasikiliza wimbo wa Meja Kunta na Lavalava, sasa ulivyomtaja huyo dogo nikaona kama ndiye anayeimbwa.
Sema jamaa namwelewa, analipwa kwa kazi hiyo. Nadhani ndiye PR wa WCB humu JF.
Kama ni kazi yake sawa.
Ila ntasikitika Sana kama halipwi huyu jamaa.
Kumbe ni kwioo wa wcb?
unajua maana ya skendo?Msanii wakike ambaye hana skendo chafu anajitunza sana na anaimba muziki mzr pia MAUA SAMA.
Kwani ww unaelewaje skendo?unajua maana ya skendo?
Ndo maana nacheka tyuuuh jinsi watu wanavotusua life khaaaahOmmy anavaa vitu vizito sana sio mtu wa mchezo mchezo maisha yake ni gharama sana.
Hilo najua pia yes ni kweli [emoji817]Msanii wakike ambaye hana skendo chafu anajitunza sana na anaimba muziki mzr pia MAUA SAMA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni teja wa domo JF nzima wanafahamu hilo so huna haki ya kujibiwa kwa hoja