Msanii Harmonize: Wasanii wanaitaji Tuzo ili kuleta heshima kwenye "Music wa Tanzania"

Kweli kabisa wasanii kama kina belle 9, kina jay melody n.k kama kungekuwa na tuzo wangeshakuwa wameheshimishwa sana ila tuzo hamna na kwa kuwa hawafuatiliwi sana mitandaoni wanaendelea kuchukuliwa poa, ila tuzo zikiwepo hawa lazima wangeshinda na wao kupata heshima ya kisanaa wanayostahili
 
Si juzi tu hapa alisema hataki kushindanishwa na wasanii wabongo,ashindanishwe na akina burna boy...

Pia kitendo cha kusema kua mtu akiwa na subscribe wengi anajiona mfalme na akipiga viewers wengi ndani ya siku moja ndo anajiona ana mziki mzuri moja kwa moja ni dongo kwa boss wake wa zamani ajabu yeye alipokua anapiga viwers wengi kwa muda mfupi alipiga kimya leo anasema haya.

Kuna vitu ameviongea vina make sense ila jinsi allivyoongea ni kimipasho zaidi hapo ndo kaharibu maana nzima ya alichowasilisha.
 
Hivi kwa nini east africa tv waliziua tuzo zao? Aisee bonge moja la title afrika mashariki, zile tuzo zao ilipaswa ziwe kubwa sana africa.

R.I.P Mengi
 
sasa hayo mawazo yake unayaona yapo sawa au nawe nipunga tu? yaani anatukana platform ziliz6tambulisha world wide, acheni ushabiki usio maana ambao hautawezesha kujenga industry yetu...

msanii gani kwa sasa anaweza fanikiwa bila hizi platform? may be awadanganye mapunga kama wewe ndo mtamuelewa.

Kuna haja gani ya kuita wenzako hivyo mzee.. hakuna lugha yenye staha?
 
Tabu tuzo nchini zina usanii sana

Kukiwa na wasimamizi wasimsmia haki.. hapo sawa itanoga tena. Bila rushwa, hongo.. n.k.
 
sasa hayo mawazo yake unayaona yapo sawa au nawe nipunga tu? yaani anatukana platform ziliz6tambulisha world wide, acheni ushabiki usio maana ambao hautawezesha kujenga industry yetu...

msanii gani kwa sasa anaweza fanikiwa bila hizi platform? may be awadanganye mapunga kama wewe ndo mtamuelewa.
Huna faida yeyote kwa wazazi .wako

Babako bora angepiga nyeto upotelee chooni.
Onyesha alipotukana basis..
 
Kauli yake ukiichunguza kuna kitu kimejificha " hana ubinafsi"

Tuzo zinapaisha muziki , kila mtunzi atajitahidi kutunga nyimbo bora na kuwapa wasanii
 
Inamaana hata wataliano hawamtazami? Asijisahaulishe bado tunasubiri birthday party la Mrs sisi tukale macaroni...sijui ni cicil au Rome huko. Asitutanie.
Kama kaoa binti Laizer pia aseme.
 
Kwa style hii lazima alilie tuzo,video tatu kwa mpigo ndani ya mwezi mmoja,lkn bado anasuasua.
106410028_570046660374612_2825236955407614454_n (1).jpg
 
Kwa style hii lazima alilie tuzo,video tatu kwa mpigo ndani ya mwezi mmoja,lkn bado anasuasua.
View attachment 1498562
sasa unafikiri hapo harmonize anatetea kina nani kama sio wasanii ambao orodha hiyo hawatakaa waifikie kamwe. kwa mtindo wa kukosa tuzo, wasanii wenye followers wachache wasio na kiki za kimaisha yao watabakia kuonekana wa kawaida sana, lakini laiti kukawa na tuzo halafu wasanii hao wadogo washindanishwe na hawa wakubwa katika vipengele itaibua ushindani maana wapo wasanii wadogo ambao wananchi wataibuka kuwapenda na kwa nguvu yao wataweza kuwapita hata hawa wenye followers wengi
 
Kwa dunia ya sasa digital platforms (Youtube,Sportfy,Itunes,Apple) zina nafasi kubwa sana ktk kuamua nani apewe tuzo,ww bisha lkn ipo hivyo.

Bilboard yenyewe digital platforms plus rotation kwenye TV na Radio stations zina amua nyimbo ipi bora ishike chat za juu,mwisho wa siku hizo number za Digital Platforms zinakubeba kwenye tuzo.
 
Muziki sio mashindano, hiyo ni dalili ya kushindwa, mbona nyimbo zake zikitrend anapigaga kelele Insta?
 
sasa unafikiri hapo harmonize anatetea kina nani kama sio wasanii ambao orodha hiyo hawatakaa waifikie kamwe. kwa mtindo wa kukosa tuzo, wasanii wenye followers wachache wasio na kiki za kimaisha yao watabakia kuonekana wa kawaida sana, lakini laiti kukawa na tuzo halafu wasanii hao wadogo washindanishwe na hawa wakubwa katika vipengele itaibua ushindani maana wapo wasanii wadogo ambao wananchi wataibuka kuwapenda na kwa nguvu yao wataweza kuwapita hata hawa wenye followers wengi
nasrimgambo Hakuna Cha kuwapigania Wala Nini harmonize Ni mnafiki Kama wanafiki wengine ndio maana post yake kaifuta baada ya kumuumbua na kuanza kumtukana huyu jamaa ngoma yake ya bedroom ilivyokaa on trending alipiga kelele kweli kweli na kudhihaki wengine hapo ikiwa wakubwa awajaanza kutoa ngoma zao baada ya wakubwa kuanza kutoa ngoma zao mfululizo nakuzima ngoma zake ndio ameanza kuleta chokochoko hizo muambie afanye mziki aache mambo ya kijinga.
 
Kwani wamekatazwa wasiifikie ?
 
Hivi nilikuwa najiuliza Alipost wapi huo utopolo wake, kila nikifukunyua siuoni. Kumbe alishafuta [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tujiulize:
-Hao wenye followers wengi wanawapata TZ au nje ya TZ?
-Hizo Tuzo zitakuwa ni za TZ au international?

Ukiangalia haya kwa undani utaona Tuzo hazitakuwa na kipya chochote, unless hizo Tuzo zinakuwa International na zinatoa kipaumbele cha upendeleo kwa local artists ili kuwatambulisha kimataifa (kama wanavyofanya kwenye tuzo za wanigeria).

Tuzo local hazina impact yoyote kimataifa; zitaishia vipengele vya bendi, singeli, utamaduni (BASATA), legendary,nk.
 
Back
Top Bottom