nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
sasa hayo mawazo yake unayaona yapo sawa au nawe nipunga tu? yaani anatukana platform ziliz6tambulisha world wide, acheni ushabiki usio maana ambao hautawezesha kujenga industry yetu...
msanii gani kwa sasa anaweza fanikiwa bila hizi platform? may be awadanganye mapunga kama wewe ndo mtamuelewa.
Huna faida yeyote kwa wazazi .wakosasa hayo mawazo yake unayaona yapo sawa au nawe nipunga tu? yaani anatukana platform ziliz6tambulisha world wide, acheni ushabiki usio maana ambao hautawezesha kujenga industry yetu...
msanii gani kwa sasa anaweza fanikiwa bila hizi platform? may be awadanganye mapunga kama wewe ndo mtamuelewa.
Nmeshangaa bro jamaa ana makasiriko kwa watu sijui shida mini??Kuna haja gani ya kuita wenzako hivyo mzee.. hakuna lugha yenye staha?
Wote wapo CCMWasanii washakuwa wanasiasa. Wapambane na hali zao.
Nmeshangaa bro jamaa ana makasiriko kwa watu sijui shida mini??
sasa unafikiri hapo harmonize anatetea kina nani kama sio wasanii ambao orodha hiyo hawatakaa waifikie kamwe. kwa mtindo wa kukosa tuzo, wasanii wenye followers wachache wasio na kiki za kimaisha yao watabakia kuonekana wa kawaida sana, lakini laiti kukawa na tuzo halafu wasanii hao wadogo washindanishwe na hawa wakubwa katika vipengele itaibua ushindani maana wapo wasanii wadogo ambao wananchi wataibuka kuwapenda na kwa nguvu yao wataweza kuwapita hata hawa wenye followers wengiKwa style hii lazima alilie tuzo,video tatu kwa mpigo ndani ya mwezi mmoja,lkn bado anasuasua.
View attachment 1498562
Kwa dunia ya sasa digital platforms (Youtube,Sportfy,Itunes,Apple) zina nafasi kubwa sana ktk kuamua nani apewe tuzo,ww bisha lkn ipo hivyo.sasa unafikiri hapo harmonize anatetea kina nani kama sio wasanii ambao orodha hiyo hawatakaa waifikie kamwe. kwa mtindo wa kukosa tuzo, wasanii wenye followers wachache wasio na kiki za kimaisha yao watabakia kuonekana wa kawaida sana, lakini laiti kukawa na tuzo halafu wasanii hao wadogo washindanishwe na hawa wakubwa katika vipengele itaibua ushindani maana wapo wasanii wadogo ambao wananchi wataibuka kuwapenda na kwa nguvu yao wataweza kuwapita hata hawa wenye followers wengi
nasrimgambo Hakuna Cha kuwapigania Wala Nini harmonize Ni mnafiki Kama wanafiki wengine ndio maana post yake kaifuta baada ya kumuumbua na kuanza kumtukana huyu jamaa ngoma yake ya bedroom ilivyokaa on trending alipiga kelele kweli kweli na kudhihaki wengine hapo ikiwa wakubwa awajaanza kutoa ngoma zao baada ya wakubwa kuanza kutoa ngoma zao mfululizo nakuzima ngoma zake ndio ameanza kuleta chokochoko hizo muambie afanye mziki aache mambo ya kijinga.sasa unafikiri hapo harmonize anatetea kina nani kama sio wasanii ambao orodha hiyo hawatakaa waifikie kamwe. kwa mtindo wa kukosa tuzo, wasanii wenye followers wachache wasio na kiki za kimaisha yao watabakia kuonekana wa kawaida sana, lakini laiti kukawa na tuzo halafu wasanii hao wadogo washindanishwe na hawa wakubwa katika vipengele itaibua ushindani maana wapo wasanii wadogo ambao wananchi wataibuka kuwapenda na kwa nguvu yao wataweza kuwapita hata hawa wenye followers wengi
Kwani wamekatazwa wasiifikie ?sasa unafikiri hapo harmonize anatetea kina nani kama sio wasanii ambao orodha hiyo hawatakaa waifikie kamwe. kwa mtindo wa kukosa tuzo, wasanii wenye followers wachache wasio na kiki za kimaisha yao watabakia kuonekana wa kawaida sana, lakini laiti kukawa na tuzo halafu wasanii hao wadogo washindanishwe na hawa wakubwa katika vipengele itaibua ushindani maana wapo wasanii wadogo ambao wananchi wataibuka kuwapenda na kwa nguvu yao wataweza kuwapita hata hawa wenye followers wengi
Hivi nilikuwa najiuliza Alipost wapi huo utopolo wake, kila nikifukunyua siuoni. Kumbe alishafuta [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nasrimgambo Hakuna Cha kuwapigania Wala Nini harmonize Ni mnafiki Kama wanafiki wengine ndio maana post yake kaifuta baada ya kumuumbua na kuanza kumtukana huyu jamaa ngoma yake ya bedroom ilivyokaa on trending alipiga kelele kweli kweli na kudhihaki wengine hapo ikiwa wakubwa awajaanza kutoa ngoma zao baada ya wakubwa kuanza kutoa ngoma zao mfululizo nakuzima ngoma zake ndio ameanza kuleta chokochoko hizo muambie afanye mziki aache mambo ya kijinga.