kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,966 Reaction score 26,220 Jun 30, 2025 #1 Msanii Harmorapa nae ameitumia haki yake ya Kikatiba kwa kutia nia kugombea ubunge jimbo la Mtwara mjini
Msanii Harmorapa nae ameitumia haki yake ya Kikatiba kwa kutia nia kugombea ubunge jimbo la Mtwara mjini
V Volodimiri Zelensiki JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 1,467 Reaction score 4,536 Jun 30, 2025 #2 Hivi hizo form si zinauzwa kwanini hiyo pesa asinunue hata kitabu fulani kizuri asome afute ujinga kuliko kufanya huo use#ge na qma sisiemu
Hivi hizo form si zinauzwa kwanini hiyo pesa asinunue hata kitabu fulani kizuri asome afute ujinga kuliko kufanya huo use#ge na qma sisiemu
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,966 Reaction score 26,220 Jun 30, 2025 Thread starter #3 Volodimiri Zelensiki said: Hivi hizo form si zinauzwa kwanini hiyo pesa asinunue hata kitabu fulani kizuri asome afute ujinga kuliko kufanya huo use#ge na qma sisiemu Click to expand... Mkuu,ni haki yake ya kikatiba,wacha aitumie vyema
Volodimiri Zelensiki said: Hivi hizo form si zinauzwa kwanini hiyo pesa asinunue hata kitabu fulani kizuri asome afute ujinga kuliko kufanya huo use#ge na qma sisiemu Click to expand... Mkuu,ni haki yake ya kikatiba,wacha aitumie vyema
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,521 Reaction score 46,663 Jun 30, 2025 #4 CCM wamesababisha Bunge lionekane danguro ndiyo maana kila MTU anaweza kwenda.....huyu na babu tale wana tofauti gani? Na bunge la safari hii litakuwa la hovyo kama mwenyekiti wao alivyo
CCM wamesababisha Bunge lionekane danguro ndiyo maana kila MTU anaweza kwenda.....huyu na babu tale wana tofauti gani? Na bunge la safari hii litakuwa la hovyo kama mwenyekiti wao alivyo
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Jun 30, 2025 #5 Volodimiri Zelensiki said: Hivi hizo form si zinauzwa kwanini hiyo pesa asinunue hata kitabu fulani kizuri asome afute ujinga kuliko kufanya huo use#ge na qma sisiemu Click to expand... Ni kama betting, lolote linaweza kutokea
Volodimiri Zelensiki said: Hivi hizo form si zinauzwa kwanini hiyo pesa asinunue hata kitabu fulani kizuri asome afute ujinga kuliko kufanya huo use#ge na qma sisiemu Click to expand... Ni kama betting, lolote linaweza kutokea
Tochuku JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 5,322 Reaction score 8,412 Jun 30, 2025 #6 Ningewaona wa maana kama wangekua wanachukua fomu za kujiunga na jwtz ili kutumikia nchi.