Msanii huyu anaitia aibu tasnia ya filamu

Mpe pole aise duu!!!!. Huku mkoani tunawaona wakubwa kweli kweli mjini huko
Mnatazama kwenye TV wanamiliki magari ya kifahari, Nyumba za kifahari, nguo za bei Kali. Mkuu hayo sio maisha yao wanaigiza, ukija kwenye maisha halisi utawashangaa hamna kitu.
 
wasanii wa bongo movie wote wanaishi maisha ya kuigiza tu..si tupo nao mitaani
 
Mnatazama kwenye TV wanamiliki magari ya kifahari, Nyumba za kifahari, nguo za bei Kali. Mkuu hayo sio maisha yao wanaigiza, ukija kwenye maisha halisi utawashangaa hamna kitu.
Mkuu sijui habari yako inaukweli kiasi gani,lakini kwenye hilo la sembe usingelisema hapa,kama kweli ulitaka jamii ifahamu basi tungefahamu tu kwa yeye kuwa chini ya ulinzi wa polisi. Lakini hivo ulivyofanya ni kama umemuambia aanze kukimbia jambo litakalofanya kumpata kuwa kugumu.
 
Hivi kibongo bongo ngada bei ya rejareja ikoje. Mfano gram 1 ni sawa na shilingi ngapi? Au vile vipinchi vya kwenye nailoni zamani sana ilikuwa kimoja buku, siku hizi ni bei gani?
Ohiii unabwia eeeh
 
si Kabla hujafika kiwanda cha Kova cha matofali? basi ntamuulizia leo nipige nae picha niwatumie au ntamuonesha huu ujumbe hapa ha ha ha.
Kova amepata wapi pesa za kuwa na kiwanda cha matofari Dar es salaam?
 
fanya maisha yako bro mmekutana ukubwani kila mtu na malezi aliyokuwa nayo
 
Jamaa mmbea kuliko Shigongo, eti kamfuatilia mpaka Chamazi kujionea mwenyewe hali halisi. Halafu hizi tabia za usinitch hizi.
Rafiki kama na wewe unaishi maisha ya kuigiza acha, fanya kazi usaidie wazazi wako. Nimeitoa kama fundisho kwa nyinyi wasanii, hamjielewi umaharufu unawachanganya sana.
 
Polisi wetu hawa mkuu si wote baadhi, wanashiriki na hawa wauzaji, wakati nikiwa katika uchunguzi nikabaini kuna polisi wanapita wanapewa 5000 wanasepa, biashara inaendelea. Nilienda kwa mjumbe kuuliza kama anafaham biashara ya sembe kwenye mtaa wake, majibu yake tu nikabaini ni mshiriki. Nilikosa ushirikiano na viongozi wa serikali za mitaa, ningemchukua mzogamzoga. Ila bado naendelea kuweka mitego mtasikia tu.

Hizi kazi zetu, kwenye sembe sina huruma na mtu, pale Mwenge na Mwananyamala masela wananijua mziki wangu wakiniona wanasepa kwenye vijiwe vyao.
 
hahahah we jamaa kwa kupenda ubuyu. so ukaamua kwenda na chamazi kabisa aisee
 
Hiyo picha hapo ndo wewe? Mwanaume wa kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…