Siasa Basi
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 1,493
- 4,281
- Thread starter
-
- #101
Hakuna chochote kati yangu na mhusika hata kidogo, nina ugomvi nae kwa biashara yake anayofanya. Nitapambana nae hapo chamazi mpaka mwisho, nitafutilie mpaka anakotoa hizo dawa, ni bahati nzuri taarifa nimeisha fikisha sehemu husika, uchuguzi unaendelea kubaini anapotoa huo mzigo.Sina shaka na habari yake, linalonipa shaka in muda wa kwenda kumfatilia huyo mtu maisha yake A-Z. Hajaniconvice kuwa hakuna kitu kati yake na mhusika. Ndio maana nasema wewe unamwamini? Kwasababu kama predictions zangu ziko sahihi katika moja ya habari alizoleta lazima chumvi iwepo, ukitaka kujua ni jamaa anavyokuwa mkali kwenye comment za wale wanaohoji,.
Kwani mtu ukisema kweli kuna ubaya? Nimetoa habari kama fundisho kwa wasanii wetu.hii ni zaidi ya ubongo muvi wake,kuna kitu kati yako na yeye nyuma ya pazia hatukijui.....!!
Nyie ndio walewale tu, nikikubaini na wewe nakufutilia mpaka unapolala na kuanika. Mnaleta upuuzi na maisha yenu ya maigizo kwenye mitandao ya kijamii, wakati mnashindia mihogo na maji.Na haswa pale anaposhindwa kumfuata mwenyewe na kumwambia ukweli na badala yake anamsema kwenye mitandao.
Sijui ni uoga au?
Asante kwa kumwambia kweli, ukiona povu ujue jiwe la gizani limewapata wengi.
Hivi wee jamaa unajua maana ya celeb?! Yani mtu akisha amua kuishi kistaa unafuatiliwa maisha yako hadi unapo lala! Na mleta thread kamfichua jamaa ni muuzaji mzuri tu wa madawa kwa maelezo ya mleta thread! Sasa wew unataka ayafanye siri! huenda ukawa unajua maovu mengi huko kitaa kwako ila unayafumbia macho mwisho wa siku likitokea balaa unakuja kujutia ningejua!!
Baada ya kubaini nilikwenda kwa mjumbe kujua kama anatambua biashara hiyo kwenye mtaa wake, majibu yake yalinipa shaka nikajue washirika, nikabaini askari wanakwenda wanapewa kisenti wanaondoka. Kuna hatua ambazo nimechukua mtamsikia tu. Mbona wengi nilishawafichua kuna watu wameishachukuliwa hatua.Sasa wewe baada ya kugundua mchizi anauza crack kwanini hukumreport police au umeridhishwa na anavyowapoteza vijana wenzio
Hili ndiyo tatizo la Waafrica walio wengi mkiambiwa ukweli mnachachamaa hadi mshipa wa t unasimama! Mlitaka mskie mleta thread anamsifia na kuandika jamaa ana bonge la gorofa huko obey?hii ni zaidi ya ubongo muvi wake,kuna kitu kati yako na yeye nyuma ya pazia hatukijui.....!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji14] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hili ndiyo tatizo la Waafrica walio wengi mkiambiwa ukweli mnachachamaa hadi mshipa wa t unasimama! Mlitaka mskie mleta thread anamsifia na kuandika jamaa ana bonge la gorofa huko obey?
HahahahaaaaaaaaaaaaHili ndiyo tatizo la Waafrica walio wengi mkiambiwa ukweli mnachachamaa hadi mshipa wa t unasimama! Mlitaka mskie mleta thread anamsifia na kuandika jamaa ana bonge la gorofa huko obey?
cheki unavyojiuma uma ,hujui hata usimamie wapSasa kama wewe ni mfata yako umeingia jf kutafuta nini kwan kuna mstari hata mmoja wa coding uiouandika katika hii app.....na kwanini usome huu .....tuoneshe mfano kwanza kwa wewe kufataa yako
hili ndilo ulilokuwa umeliacha na sio kudandia vitu hovyoSasa mleta uzi kwanini asingemreport au na yeye jipu
Viwanja sh ngapi kwa sasa huko chamazi?Aisee pole yake. huu ujumbe nadhani lazima aupate tuu.
hata mie naishi Chamazi magengeni yeye anaishi Chamazi sehemu gani nikamtembelee msanii wetu