Siasa Basi
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 1,493
- 4,281
- Thread starter
- #101
Hakuna chochote kati yangu na mhusika hata kidogo, nina ugomvi nae kwa biashara yake anayofanya. Nitapambana nae hapo chamazi mpaka mwisho, nitafutilie mpaka anakotoa hizo dawa, ni bahati nzuri taarifa nimeisha fikisha sehemu husika, uchuguzi unaendelea kubaini anapotoa huo mzigo.Sina shaka na habari yake, linalonipa shaka in muda wa kwenda kumfatilia huyo mtu maisha yake A-Z. Hajaniconvice kuwa hakuna kitu kati yake na mhusika. Ndio maana nasema wewe unamwamini? Kwasababu kama predictions zangu ziko sahihi katika moja ya habari alizoleta lazima chumvi iwepo, ukitaka kujua ni jamaa anavyokuwa mkali kwenye comment za wale wanaohoji,.