Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,799
- 1,809
Sio bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusema karogwa? Maana sisi watanzania tunaamin sana mambo hayo.Sio bure
Sio bure, interest ya kufamfanyia utafiti mtu ambaye hakuhusu wala so ndugu yako siku kadhaa hadi akawa anafunga safari kwenda kufuatilia. Wewe Jesca unaona in kawaida? Kuna kitu nyuma ya paziaUnataka kusema karogwa? Maana sisi watanzania tunaamin sana mambo hayo.
Hahahaha ila kuna kaa ukweli hapa, inaonekana mleta mada ni mwandishi maana ndio kazi zao hizi za ushushu.Sio bure, interest ya kufamfanyia utafiti mtu ambaye hakuhusu wala so ndugu yako siku kadhaa hadi akawa anafunga safari kwenda kufuatilia. Wewe Jesca unaona in kawaida? Kuna kitu nyuma ya pazia
Wewe unahisi nini mkuu, kumbuka yule ni msanii anatazamwa na jamii, lazima asemwe. suala la kuuza sembe si la kupuuzia hata kidogo mkuu.Sio bure, interest ya kufamfanyia utafiti mtu ambaye hakuhusu wala so ndugu yako siku kadhaa hadi akawa anafunga safari kwenda kufuatilia. Wewe Jesca unaona in kawaida? Kuna kitu nyuma ya pazia
Jesca sio ushushu, kwanini uishi maisha ya maigizo usiishi maisha yako halisi? Kingine kuuza unga je hilo liko sawa kwamba namuonea au umbea? Nimetoa kuwa fundisho kwa wenye tabia kama hiiHahahaha ila kuna kaa ukweli hapa, inaonekana mleta mada ni mwandishi maana ndio kazi zao hizi za ushushu.
AKILI ndogo..!!!Unafirika
Hakuna matatizo yoyote atakayo pata, bahati nzuri siri nyingi nilitoa kwa mateja na kaka yake. Na Dada mtu nae akanipa siri kibao, maana wamemchoka, zaidi ya million 50 za mgao aliponda raha na wasichana wa mjini gari za maana Leo wanakuja kumpa Mzee wa watu shida. Mama zetu wanavumilia sana, baba angekuwepo asingekaa hapo.Kwa wasanii wa kibongo hiyo kawaida ila dah utakuwa umemchoma Rafiki yako ambae anaishi huko chamanzi na huyo jamaa na kama kweli anadeal na mateja basi umemsababishia matatizo
Hongera kwa kufatilia bongo movie .... Kubweteka tu ndio kunafanya watu kuendelea kuishi home espc km umekamilika kila kituNahisi atakuwa mke wake enzi hizo, jamani huyu kaka anaigiza vizuri sana na napenda kufuatilia movie zake lkn Sijui wanakosea wapi! Mpaka unafikia hatua ya kuishi na wazazi kwa umri huo hapana jamani.
Ndugu yangu umetisha.... Kupoteza muda wako kwenda kuyafanyia 'utafiti' maisha ya huyu jamaa.
Nadhani utakuwa mwandishi wa habari wa haya magazeti pendwa
Hongera
NISAMEHE BURE, WANAKERA HAWA MADOGOalaf ni aibu kubwa kwa mwanaume rijal kutumia neno KOMA
Aisee, itakuwa hatari. Ukifanya chochote anachoona sio, hakuambii bali anakufanyia utafiti na kumwaga mambo hadharani.Ndo umpate kama jirani yako ha hahaa
Hapana mkuu siko hivyoAisee, itakuwa hatari. Ukifanya chochote anachoona sio, hakuambii bali anakufanyia utafiti na kumwaga mambo hadharani.
Mkuu na wew unatumia nini! Mbona kama mzoefu hivi. Ngoja wataalamu waje.Hivi kibongo bongo ngada bei ya rejareja ikoje. Mfano gram 1 ni sawa na shilingi ngapi? Au vile vipinchi vya kwenye nailoni zamani sana ilikuwa kimoja buku, siku hizi ni bei gani?