Msanii huyu anaitia aibu tasnia ya filamu

Msanii huyu anaitia aibu tasnia ya filamu

Sikiliza kijana Mimi umri wangu ni sawa baba yako lazima uwe na heshima. Kazi ya kupambana na madawa ya kulevya sio ya Magufuli pekee jamii yote inahusika. Kama biashara halali nifuatilie ya nini? Na kuitoa humu ni kama fundisho kwa nyinyi mnaoishi maisha ya maigizo. Kwa mfano wew hapo mpaka sasa huko kwenu unakula ugali wa Baba yako, kufanya kazi hutaki, unakesha kwenye mitandao kupost vipicha vya kipuuzi eti staa.
asa kwa kumpost ndo utamzuia asiuze hayo madawa ya kulevya? unaweza ukawa mkubwa kama baba yangu ila ukawa na akili ndogo kama za mtoto mchanga.
 
Kama anauza "unga wa mateja" kizuri zaidi ilikuwa kuripoti tukio hilo katika vyombo husika, kwa hapa sasa atapoteza ushahidi,

Na kwa mazingira ya Uzi huu..mm!
Zile sentesi za kwanzakwanza nimezitilia shaka.
 
acha kuwa na akili za mwendo kasi sasa humu kuna wanausalama? si uwape mchongo askari waje kumkamata...acha ufala mtoto wa kiume hawezi kufatilia biashara za mwanaume mwenzie au mwenzetu sio riziki nini
Wee jamaa inaonekana ni bongomovie mwenzako, ngoja akiharibikiwa ndiyo muanze kupitisha bakuli la mchango wa kumpeleka rehab
 
Acha kufuatilia maisha ya mtu bali fuatlia maisha yko na yale yote yanayoweza kuathiri jamii mfano jambo la madawa ya kulevya hapo upo sahihi lakini maisha mengne ya familia za watu c vzuri kuyazungumzia,kwanza kisheria ni kosa kuzungimzia maisha ya familia flan kwnza wewe cyo msemaji wa familia.cjakataa yote bali kwenye chumba cha maisha yke hayo kama ulikuwa na lengo la kumsaidia ungemwambia mwenyewe.yaan namaanisha kuw hiv humu cc hatutaki umzungumzie maisha ya mtu mwngne kwn hapo ni sawa na kumsema vbaya marehemu ambye hawez kujibu kw wakat huo..swala la ngada hata mm siungi mkono tatzo lngu mm kwko ni kule kumfuatilia mtu had ukaenda kumuwekea kambi,
Wee jamaa bhana, tafuta kwanza maana ya neno celeb ni nini! Ndiyo uje uanze kumwanga povu lako hapa Jing kweli!

Sheria ingekuwa imevunjwa kwa kuanika maisha ya huyo jamaa hii thread ingekuwa imeshafutwa kwa kuwa ni celeb ni lazma mazuri na mabaya yake lazma yaanikwe hapa!!
 
Sina shaka na habari yake, linalonipa shaka in muda wa kwenda kumfatilia huyo mtu maisha yake A-Z. Hajaniconvice kuwa hakuna kitu kati yake na mhusika. Ndio maana nasema wewe unamwamini? Kwasababu kama predictions zangu ziko sahihi katika moja ya habari alizoleta lazima chumvi iwepo, ukitaka kujua ni jamaa anavyokuwa mkali kwenye comment za wale wanaohoji,.
Kazi yake inamruhusu
 
Ukweli mtupu hayo ndio maisha yao hivyo ndivyo wanavyoishi hakuna kingine huku mtaani wanaishi Kiujanjaunjanja sana hata kulipia Luku yenyewe mpaka mpigishane kelele za kutosha, ni hatari tupu.
Aarggh apo kwenye makelele ya luku kuna mkaka tunaishi nae ukimwona huwez mdhania nje very smart mwanaume hyu ikifika mambo ya luku hatoi baadh ya hawa wanaume sijui wapoje
 
Jambo moja sijafurahia, umetoa chanzo chako cha habari jambo ambolo sio zuri kwa mujibu wa uandishi wa habari, kwani wahusika watamfahamu na umejenga uadui tayari
 
Siku moja jirani yangu tumbo lilikuwa linauma akaenda hospital,
Dokta. Leo toka asubuh umekula nn?
Mgonjwa. Pizza, baga, kuku choma na chips mayai kidogo
Dokta. Weee sema ukweli hapa sio fb, twt au inst
Mgonjwa. Ugali maharagwe na mchicha wa mto simbazi
Dokta. Hacha kuishi maisha ya kuigiza wew
 
Wee jamaa inaonekana ni bongomovie mwenzako, ngoja akiharibikiwa ndiyo muanze kupitisha bakuli la mchango wa kumpeleka rehab
ASA UWEZI KUMREKEBISHA MTU KWENYE MITANDAO NI VYEMA ANGE MFACE KULIKO KUJA KUMNANGA MTU HUMU SI AJBU ATA YEYE MWENYEWE HUMU AJAWAHI KUINGIA ASA UNAPOMUANDIKA HUMU ITAMSAIDIA NN
 
ASA UWEZI KUMREKEBISHA MTU KWENYE MITANDAO NI VYEMA ANGE MFACE KULIKO KUJA KUMNANGA MTU HUMU SI AJBU ATA YEYE MWENYEWE HUMU AJAWAHI KUINGIA ASA UNAPOMUANDIKA HUMU ITAMSAIDIA NN
Huyu ni kioo cha jamii so nilazma jamii itambue alipo na nini anafanya!

[HASHTAG]#Sikujibutena[/HASHTAG]
 
Ndugu zangu nayasema haya si kwa chuki au unafki , ila wakati mwingine inabidi tuseme kama funzo kwa jamii yetu inayotuzunguka. Na si vyema kujadili maisha ya mtu lakini huyu ninayemjadili ni msanii tena ana jina kubwa tu, hawa ndio tunawaita kioo cha jamii hivyo wanapokwenda tofauti lazima tuseme.

Wapo wengi tu wenye tabia hii ambao huishi maisha yasiyo yao. Kwa sababu tu wanaitwa wasanii na wanajulikana kwenye jamii. Huyu msanii ni wa Bongo movie anaitwa Jumanne Mshindo. Ni msanii wa muda mrefu wengi mmnafaham wale wapenzi wa filamu za bongo. Ukimuona ni mtanashati kweli na Mungu kamjalia umbo lenye Pesa.
View attachment 388623
Katika tembea tembea yangu siku ya wikiendi, nikafika sehemu moja inaitwa Chamazi kwa rafiki yangu, kanunua huko kakibanda kake safi anakaa na familia yake. Wakati tunaendelea kupiga stori hapo nje maana nyumba yake haina fensi. Gafla nikamuona jamaa mnene anatokea kwenye nyumba ya pili yake nayo haina fensi ila ni ya zamani. Nikawa kama nimemfananisha, ikabidi niulize mwenyeji wangu, vipi huyo jamaa aliyepita hapo anafanana na msanii mmoja maarufu wa filamu. Jamaa akacheka, kisha akasema ni kweli wala ujamfananisha, Anaitwa Jumanne Mshindo na hapo ni kwao.

Nikamtania kumbe unaishi na wazazi wa msanii mkubwa hapa kwako, kilichonishangaza akaniambia sio naishi na wazazi wake pekee ata mwenyewe anaishi hapo, na nilipoaamia hapa toka mwezi 10 mwaka Jana nilimkuta hapa, anaishi maisha ya shida sana. Na hii Nyumba ninayoishi kaka yake ndiye aliyemuuzia aliyeniuzia Mimi baada ya kuikarabati. Baada ya kaka yake kuuza hii nyumba alivutia unga yote nae anaishi hapo kwao. Na ili eneo lote lenye majengo lilikuwa lao waliuza viwanja vyote wamebaki na nyumba hiyo moja ambayo haina hata nafasi ya watoto kucheza.

Sikuridhiki na maneno ya jamaa ikabidi mwenyewe niende Chamazi kwa wakati wangu kufanya utafiti. Kilichonishangaza zaidi baada ya utafiti kumbe ndiye muuza unga, kwa wale mateja wa Chamazi. Anashinda kwenye jumba bovu hapo jirani na mateja humzunguka kwa ajili ya huduma. Na anaishi hapo kwao kwa kipindi kirefu yeye na mke wake chumba kimoja, vyombo vyote kauza kabakiza kitanda tu. Nikaingia ndani kabisa kuhusu historia ya hapo nyuma ya familia yao. Baba yao alikuwa na uwezo mkubwa tu, baada ya kufariki, wakauza Nyumba pale mtoni, mashamba, viwanja n.k ikabaki Nyumba 1 iliyoko Chamazi ambayo mama yao anaishi sasa. Pesa nyingi wakagawana vijana wakala maisha.

Kilichosababisha niandike haya ni baada ya kubaini mama yao anateseka sana licha ya mtoto wake ana jina kubwa kwenye jamii na kwenye mitandao wanatupia vitu na maisha ya maigizo, ukiingia kwenye ukurasa wake Facebook unakuta kapiga picha suti kali, gari na funguo mkononi . Kumbe maigizo matupu. Walipouza Nyumba na viwanja vya uridhi yeye alikimbia kuwekeza kwenye movie, alinunua gari Kali, alipanga Nyumba nzima na furniture za kila aina, nguo za bei Kali, akawa anakesha bar kwamba aonekane ni staa mwenye Pesa. Bila kukumbuka kujenga, Pesa zilipoisha karudi kwao kumuangaisha mama yao na soko la movie halilipi kabisa. Hapo kwao ni familia kubwa sana, Nyumba ya vyumba 4, yeye anaishi chumba kimoja na mke, kaka yake nae mvuta unga chumba kimoja, kuna mdogo wake wa kike, bado wajukuu wa kike na wakiume na mama yao humohumo. Jamani hata Pesa ya kupanga chumba kimoja inakosekana unabaki kupishana na mama yako kwenye bafu moja? Kweli haya ndio maisha ya mtu mzima.
View attachment 388649

Wasanii badilikeni jaribuni kuishi maisha yenu halisi, kama huna sema sina, sio kudanganya watu kwenye mitandao mna maisha bora kumbe hakuna chochote, mnashindia mihogo. Fanyeni kazi zingine kama bongo movie haiwalipi, kuna mashamba kibao mkalime.
Wewe ni hasara kwa taifa
 
Back
Top Bottom