TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Baby iam sooorrry( suma lee)

Kuna mwingine ana sauti nzito anaitika sorry sorry
Ndo huyu kaka?
Yeah ..kwa pamoja walikuwa wanaitwa packlane enzi zetu za ujana ilikuwa tukienda club halafu iwe nyimbo hiyo haijapigwa aisee Raha ya club haiwezi kuwepo kabisa
 
R.I.P C to the Pwaah mzee wa Tongue Twister..Jamaa alikua na mitindo mingi sana ya Nywele
 
Back
Top Bottom