Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Jamaa wakikujua unakula ndugu zao wanaweza kukuua Wana akili za kipuuzi SanaBado hujapata demu wa kidosi uoshe rungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wakikujua unakula ndugu zao wanaweza kukuua Wana akili za kipuuzi SanaBado hujapata demu wa kidosi uoshe rungu
Mna uana tu,Jamaa wakikujua unakula ndugu zao wanaweza kukuua Wana akili za kipuuzi Sana
Kwahiyo unachotaka kusema ni yeyote anayejua kuhesabu na kutunza hela ni mhasibu na anaweza akaajiriwa kama mtalaamu?Unarudi kwenye kuangalia title.. na ndio maana nilikuambia rudi angalia origin ya neno engineer. Kutoka kwenye origin ya ilo neno yeyeto anaweza kufanya kilichopo pale huyo ni engineer... awe na cheti au hana cheti.. ila atakosa cheti tu, kama nyie mnaoenda shule kutafuta haya makaratasi
Wote wanaofanya biashara wamesoma biashara ?Kwahiyo unachotaka kusema ni yeyote anayejua kuhesabu na kutunza hela ni mhasibu na anaweza akaajiriwa kama mtalaamu?
Jack aliwachangisha watu hela za harusi, halafu akasepa UK. Ule mchango wa harusi kumbe watu wamemchangia nauli.Jack pemba,kibonde,bob fish,byatto dah
Upanga hakuna watu dizain hiyo sahv
Don bosco pia syo kma ile zamani kusaga na bony wanakja piga mziki hku vijana wanacheza kikapu na michezo nyingine
Waasia wamewahamisha wabongo asilia upanga
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Poa mhandisi, no hard feelingsHuwezi kunielewaz kwasababu sijafungwa na mfumo. Nipo nje ya box.. na nimeajiri ma engineer kwa taarifa yako naongea kama muajiri wa ma engineer na ninaongea kama engineer lakini pia naongea kama IT engineer.. umeshikwa akili na mfumo mie akili yangu haijashikwa.. ni ngumu sana kunielewa maana huwa sipendi kuwaza kama wengi wanavyo waza
Biashara ni uwanja tofauti kidogo huku shule inaweza isiwe na umuhimu sana mkuu, pengine its more art than scienceWote wanaofanya biashara wamesoma biashara ?
Ona sasa.. ushakosa balance. Ilivyo biashara ndivyo ilivyo engineer. Kama biashara unahisi hakuna umuhimu na engineer ni hivyo hivyoBiashara ni uwanja tofauti kidogo huku shule inaweza isiwe na umuhimu sana mkuu, pengine its more art than science
Ni padogo sana unaposhindwa kunielewa,mi sijakataa mtu kuweza kufanya vitu vya kiufundi hata kama hajasomea ufundi, mjadala ulikua ni criteria gani zinakufanya kuwa na taaluma flani.Ona sasa.. ushakosa balance. Ilivyo biashara ndivyo ilivyo engineer. Kama biashara unahisi hakuna umuhimu na engineer ni hivyo hivyo
Na mie narudi back kwenye origin ya neno engineer. Huenda upo sawa kwa sehemu uliyopo na kwa standard ulizopo. Upo sahihi lakiniNi padogo sana unaposhindwa kunielewa,mi sijakataa mtu kuweza kufanya vitu vya kiufundi hata kama hajasomea ufundi, mjadala ulikua ni criteria gani zinakufanya kuwa na taaluma flani.
Pia biashara nyingi iwe ni rasmi ama zisizo rasmi zinafanywa bila taaluma na zinafanikiwa ila sio kwa haya mambo yanayohitaji taaluma
Huyo anakuchukulia poaaaUmekalili tu, IT Engineer kibao tumefanya vitu vikubwa sana kwenye ma bank na makampuni ya simu.. endelea kumeza
Pesa pesa wanayo [emoji23][emoji23][emoji23]Wadosi wamevamia upanga wamejaa utadhani ni mumbai
Naskia wamotomoto sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado hujapata demu wa kidosi uoshe rungu
Msnz sn yule alishawahi nipiga 15000 miaka ileJack aliwachangisha watu hela za harusi, halafu akasepa UK. Ule mchango wa harusi kumbe watu wamemchangia nauli.
Leo nikimuona Pedejhee mkubwa mjini nacheka sana.
Kulikuwa na characters kama movie hivi.
Google jina Kalpana. Hyo kalapina linamaana gani?Ulitaka kujiita kalapina
COVID TUMbona kafa haraka haraka hivyo ? 😢😢😢
Acha kufosi kuwa engineer wewe wewe ni IT inatosha sio kisa umeajiriwa na kikampuni uchwara kwenye nafasi ya uinjinia ndio ujiite injinia hauqualify kuitwa hivyo, short and clear.Ona sasa.. ushakosa balance. Ilivyo biashara ndivyo ilivyo engineer. Kama biashara unahisi hakuna umuhimu na engineer ni hivyo hivyo
Shiiit... Kumbe Cpwaa amekufa?