TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Kwahiyo unachotaka kusema ni yeyote anayejua kuhesabu na kutunza hela ni mhasibu na anaweza akaajiriwa kama mtalaamu?
 
Jack aliwachangisha watu hela za harusi, halafu akasepa UK. Ule mchango wa harusi kumbe watu wamemchangia nauli.

Leo nikimuona Pedejhee mkubwa mjini nacheka sana.

Kulikuwa na characters kama movie hivi.
 
Poa mhandisi, no hard feelings
 
Biashara ni uwanja tofauti kidogo huku shule inaweza isiwe na umuhimu sana mkuu, pengine its more art than science
Ona sasa.. ushakosa balance. Ilivyo biashara ndivyo ilivyo engineer. Kama biashara unahisi hakuna umuhimu na engineer ni hivyo hivyo
 
Ona sasa.. ushakosa balance. Ilivyo biashara ndivyo ilivyo engineer. Kama biashara unahisi hakuna umuhimu na engineer ni hivyo hivyo
Ni padogo sana unaposhindwa kunielewa,mi sijakataa mtu kuweza kufanya vitu vya kiufundi hata kama hajasomea ufundi, mjadala ulikua ni criteria gani zinakufanya kuwa na taaluma flani.
Pia biashara nyingi iwe ni rasmi ama zisizo rasmi zinafanywa bila taaluma na zinafanikiwa ila sio kwa haya mambo yanayohitaji taaluma
 
Na mie narudi back kwenye origin ya neno engineer. Huenda upo sawa kwa sehemu uliyopo na kwa standard ulizopo. Upo sahihi lakini
 
Umekalili tu, IT Engineer kibao tumefanya vitu vikubwa sana kwenye ma bank na makampuni ya simu.. endelea kumeza
Huyo anakuchukulia poaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatz mkionekana kwenye ule uzi wa pisi kali dem
Watu wanahisi kama vichwani watu weupe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe kna mashine humu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Jack aliwachangisha watu hela za harusi, halafu akasepa UK. Ule mchango wa harusi kumbe watu wamemchangia nauli.

Leo nikimuona Pedejhee mkubwa mjini nacheka sana.

Kulikuwa na characters kama movie hivi.
Msnz sn yule alishawahi nipiga 15000 miaka ile
Khs mambo ya summer camp nje
Ila na mm nlikujaga mwibia viatu ngoma ikawa draw
Jamaa akili ya kupiga kitambo sana anayo
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Ona sasa.. ushakosa balance. Ilivyo biashara ndivyo ilivyo engineer. Kama biashara unahisi hakuna umuhimu na engineer ni hivyo hivyo
Acha kufosi kuwa engineer wewe wewe ni IT inatosha sio kisa umeajiriwa na kikampuni uchwara kwenye nafasi ya uinjinia ndio ujiite injinia hauqualify kuitwa hivyo, short and clear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…