Kuwa muhandisi sio lazima usome chuo cha uhandishi.. kuna series za cource ukimaliza izo unakuwa engineer.. kama walio enda huko vyuoni.. na hata ada ya hizo kozi huwa ni parefu sana.. yasikuchanganye hayo mavyuo na majina.. usihisi nagubu au na wivu na ma engineer by Pro mie ni Engineer pia ni mbobezi mifumo ya usalama wa mitandao.. na kuna mahala natambulika kama Security Engineer .. ninacho kueleza nakijua. Architecture wana bodi zao ambazo zipo very powerful kiasi kwamba hawana haja ya kuja kubanana humo ERB