Msanii Irene Paul amtuhumu Rammy Galis kufanya maigizo kwenye msiba wa Masogange

Inashangaza na kusikitisha kwamba mtu anajifanya kuzimia wakati mkono una nguvu za kushika kitambaa cha mkononi (leso).
Kuna msanii mwingine anajifanya ameshindwa kuendelea kuimba akaangua kilio.
Ni ajabu wasanii wetu kufanya kama wako kazini kwao kwenye msiba wa mwenzao.
Kwenye msiba wa Kanumba wasanii waliunda kamati ya mazishi ambayo sehemu kubwa waliiba michango ya waombolezaji.Lakini safari hii wasanii baada ya kuona hakuna cha kuiba wameamua kufanya usanii (kwenda location).
 

Isingekuwa katika desturi ya Kiafrika Marehemu huwa hasemwi basi nadhani ningeshuka ' makala / chambuzi ' moja ya kumuhusu huyu Dada Agnes Gerald alias Masogange ila itoshe tu kusema Kwake R.I.P. Kuna interview moja alifanya na Soudy Brown wa SHILAWADU tena siku si nyingi na aliyokuwa akiyaongea hata ' hayaakisi ' maisha yake halisi ya kuanzia Makongo na kule Mbeya. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Halafu hao hao ndio walikuwa haters number one wa marehemu nyamisambwanda
 
Kumbe amefariki duuuuh maisha haya ila Kuna maisha mengine baada ya kifo
 
Kafa muigizaji ulitazamia uone akina Ndemla na Magozi yao ya mtanange? Acha waigize,best way of mourning. I admit that.
 
Yawezakana kweli akawa yupo gambosh
Cc:Joowzey acha fitina,jibu hoja kwa hoja,umejuaje yupo in the same GMT as yours? Sio habar za Gambushi,yani ndivyo unavyojibu hoja huko kwenu hivi? Kweli acha 1.5tr Mapanya waendelee kuzisaga tu,maana walaji sahihi ndo wewe ambao vichwa vyenu sio kufikiria hoja bali kushikilia masiko,pua ,mudomo na kuotesha mafurushi ya nywele[emoji23]
 
Nimeona ITV, walikuwa Leaders Club, nikasikitika sana

Watu huwa wana take advantage za familia za wafiwa wenye upeo mdogo ambao wanakuwa wepesi kuwateka nyara misiba yao. Laiti anakuwepo ndugu hata mmoja mwelewa na mwenye courage anaweza kuwaambia wenzie jamani huu msiba sio wa wasanii, ni wa kila mtu na utaratibiwa na sisi familia. Sasa sijui wengine wanakuwa wanaelewa lakini wanafanya kusudi kugeuza misiba kama mitaji ya kiuchumi?
 

Bongo movie taaluma isiyo na vigezo na ubongo hautumiki

Kijana rommys bado Yuko location kwenye maizishi
 
Biblia inasema, wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu, Marehemu Agnes pamoja na mapungufu yake ambayo mengi aliyaonyesha hadharani bado Yesu anamuona mtu wa muhimu kwake, kupitia msiba huu tuliweza kuwafikia watu wengi hasa wasanii wenzake kwa kuwagawia vitabu ambayo ni njia nyingine ya utume.Zaidi Mungu atusaidie kuishi maisha yanayompendeza na kuipendezesha dunia kabla mauti hayajatufika,hakuna mwanadamu mwenye haki.
 
Hii ni sawa na wale wanaoombewaga, wanapoanguka, watahakikisha miguu imebana,ili chp au mapaja yasiwe wazi, pia atahakikisha haangukii kisogo,.
 
Kafa muigizaji ulitazamia uone akina Ndemla na Magozi yao ya mtanange? Acha waigize,best way of mourning. I admit that.
Nasikia siku hizo wapo hata waombolezaji wa kukodi kwa pesa. Sikitiko.
 
Lengo lake limetimia na amefanikiwa kujulikana wengi tulikuwa hatumfahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…