PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Mbona chanzo cha habari kilicho post hiyo picha walitoa maelezo kwamba jamaa aliishiwa nguvu hakuzimia sasa huyo binti naona kakurupuka kuandika hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli ni aibu mwanaume.kulegea namna hiyo....Wanarembuma mpaka wanajidondosha chini; uyu ni mwanaume kweli??? minajuaga mwanaume alii wala azimii ilamacho yanakuwa mekundu tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baba ake aliye agwa kabisa mbona ajazimia?
Looooooo! Kujishetua
Hahahahaha dah nimecheka sanalabda alizimia afu viungo vikakakamaa
Labda wazivishe nguo picha ndio wazipostHahahaha nadhani kwenye msiba huu kuna kitu cha kujifunza hasa wasanii wa kike. Juzi msanii Roma alisema watu wasipost picha za uchi za masogange sasa wapost zipi wakati enzi ya uhai wake alikuwa anapiga picha za namna hiyo. Na kanisa la wasabato hili pia mmefunika kombe mwanaharamu apite.
Leso white.hahhaha nimecheka sana jamaa yuko makini asidondoshe lesso yake
Alikuwa anawaza kuwa msambwanda baada ya wiki Unatoa funza ...Mbunye haina ubaunsa!