Hum B
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,045
- 1,468
Mkuu achana na lile body lazima nguvu ziishe aiseeHuyo Pimbi waweza kuta alishafiwa na mzazi na alikuwa yupo fresh tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu achana na lile body lazima nguvu ziishe aiseeHuyo Pimbi waweza kuta alishafiwa na mzazi na alikuwa yupo fresh tu.
Ccm imewafundisha usaniiWana Jf Wasalaam
Wakati wa kuaga mwili wa Agness pale Leaders msanii Rammy Galis aliyewahi kuwa mpenzi wa Marehemu aliishiwa nguvu hadi kupelekea wasanii wenzie kumbeba lakini kilichoacha maswali ni kitendo cha msanii huyo kuendelea kushikilia kwa nguvu kitambaa chake as if kilikuwa na pesa huku yeye akiwa amelegea kabisa huku idris akimvuta kama mbuzi anaye kwenda kuchinjwa....
Hili kweli lilikuwa igizo au alikuwa ameishiwa nguvu kweli?
Msanii mwenzie Irene Paul ameoneshwa kukerwa sana na igizo lilofanywa na wasanii wenzie wakisaidiana na Idris Sultan.
WasalaamView attachment 753646View attachment 753647
Alikua demu wake so huwezi kujua....Huyo waweza kuta alishafiwa na mzazi na alikuwa yupo fresh tu.
Hahahaaaaaa idrisa mse...la kweli
Idris anabeba na kutupa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]