Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
source plse...
Sorce ni hizi picha chafu.source plse...
msanii anayechipukia katika tasnia ya kuigiza isabela a.k.a "vai wa ukweli" alijikuta akiuza utu baada ya kufakamia pombe za buree toka kwa maswaiba wake wa karibu jijini dar,nashuhuda wa tukio hilo wanadai alichanganya vileo.
Tukio hili lilitokea jana usiku ikiwa ndo weekend imeanza ambapo muigiza huyu alijikuta anazidisha kunywa zaidi ya uwezo wa kichwa ndipo alipojikuta anasaula nguo bila kujua kwani alikuwa chakali full chapombe,baada ya muda kadhaa maswaiba wake walimpeleka kwao angali yuko taabani.
Isabela ameigiza filamu na mastaa kibao ambapo kati ya movie saba alizocheza zinatarajiwa kutoka hivi karibuni kama vile good fellow,2 eyes,black wear,doa la maishamen day out na nyingine nyingi very soon.
Vai wa ukweli ndiye mpinzani wa lulu katika matukio kama haya ikiwa wako tasnia moja na umri wao sawa ama kwqeli lulu kapata mpinzani isabela ni zaidi ya lulu sasa.
![]()

Siku hizi hamna "sangi"?