PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji106]Ndio mjue uzuri w mwanamke sio sura..ingeku sura angeshaolewa kitamboo..
Wanaume wanavitu vyao wanaangalia...unaweza chezewa wee na uzuri wako lkn huolewi ng"oooo ...
Jitunzen mabinti uzuri uwe ni km bonus
i dont think so..Hivi kumbe brown kishamkimbia???!!!!
Wanasema huwa inatoa harufu nzito, namshauri AKATUBUinafanya nini hiyo K
Huyo si yeye ni mtu anatumia jina lake kuwatapeli wapumbavu.....Huyu dada kuna mtu alisema yuko Facebook anaomba hela kila mtu anasema na kugawa No zake za simu..labda iwe uongo ila watu kama kumi wanasema amewaomba hela siku ya kwanza tu kuchat nao kwa simu...
Pengine tumshauri atumie sabuni aina ya MBUNISasa kweli unafikiri hilo linaweza kuwa kweli kiasi kwamba yeye ameshindwa kupata suluhu hadi leo?
Nimefurahi sana leo upo kwenye jukwaa lenye uwiano na ubongo wakoleo amekwenda kurusha karata nyingine.....
hahahahahahaHawa mastaa wakienda kwao huwa hawapigi picha na wazazi wao wala sehem aliyofikia ukiacha hotel nasibir picha zake akiwa na wazazi wake na nyumba yao huko kama anavyoonyesha mjini tuone kama wazazi nao wanakumbukwa hata kichumba kimoja