Msanii Jackline wolper amekwenda kujitolea mahari tena?Safari hii akikwama atajioa?

Msanii Jackline wolper amekwenda kujitolea mahari tena?Safari hii akikwama atajioa?

Ndio mjue uzuri w mwanamke sio sura..ingeku sura angeshaolewa kitamboo..
Wanaume wanavitu vyao wanaangalia...unaweza chezewa wee na uzuri wako lkn huolewi ng"oooo ...

Jitunzen mabinti uzuri uwe ni km bonus
[emoji106]
 
Huyu dada kuna mtu alisema yuko Facebook anaomba hela kila mtu anasema na kugawa No zake za simu..labda iwe uongo ila watu kama kumi wanasema amewaomba hela siku ya kwanza tu kuchat nao kwa simu...
 
Huyu dada kuna mtu alisema yuko Facebook anaomba hela kila mtu anasema na kugawa No zake za simu..labda iwe uongo ila watu kama kumi wanasema amewaomba hela siku ya kwanza tu kuchat nao kwa simu...
Huyo si yeye ni mtu anatumia jina lake kuwatapeli wapumbavu.....
 
Wanasema huwa inatoa harufu nzito, namshauri AKATUBU
Sasa kweli unafikiri hilo linaweza kuwa kweli kiasi kwamba yeye ameshindwa kupata suluhu hadi leo?
 
Hivi Hana 30--- huyu kweli? Maana mastaa wanaishia29 tuu! Umri unayoyoma maskini alaf kaachana na mtu miezi 3 haijapita anajitangaza kuolewa uyo mwanaume mtangaza ndoa anaakili kweli
Ana miaka 21
 
Hawa mastaa wakienda kwao huwa hawapigi picha na wazazi wao wala sehem aliyofikia ukiacha hotel nasibir picha zake akiwa na wazazi wake na nyumba yao huko kama anavyoonyesha mjini tuone kama wazazi nao wanakumbukwa hata kichumba kimoja
 
hahahahahaha
 
Kama yupo hapa ani-pm kwa sharti awe mke wa pili(am kidding).
 
Wakti wake ukifika ataolewa!
Ila anapenda Matangazo...
 
Back
Top Bottom