Ooooooo ilooooo safi sana kakukomesha 😂😂😂😂Wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Kuna kamoja kaliniambiaga kanampenda ssna keanu Reeves wa john wick. Nikakatema na hadi imenifanya namchukia huyu jamaa wa matrix. Lina sura mbaya.
Walivyokuwa wanamshangilia yani wanapiga kelele na wengine ni wake za watu kisa jamaa ana hunguruma aiseeeNi namna walivyo m-brand tu kuwa anapendwa na wanawake, imesemwa sana mpaka imeonekana kama kweli.
Na ilivyo akili ya wanawake baadhi wanachukuliwa sana na upepo.
Na kwa jaiva usije ukajichanganya ukauliza maoni kutoka kwa mpenzi wako unaweza kuishia kuumia hahaa mkuu pole sana yani ulintema kisa ana mkubali? Hahaha una wivu sanaWanawake ni viumbe wa ajabu sana. Kuna kamoja kaliniambiaga kanampenda ssna keanu Reeves wa john wick. Nikakatema na hadi imenifanya namchukia huyu jamaa wa matrix. Lina sura mbaya.