Msanii Jaiva wanawake wanampendea nini?

Ila binadamu wote tumeumbwa na wivu, chuki na husda
Ooooooo ilooooo safi sana kakukomesha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahaha. Ila binadamu wote tumeumbwa na wivu, chuki na husda. Lakini hivi vyote unaweza kuviepuka kwa kupuuza, kujikaza na kuumia ndani kwa ndani kimyakimya. Mimi siku hizi sikubali kirahisi kumpenda dem kwa dhati. Unakuta dem mkali analiwa na njemba wa hovyo tena bure unabaki kushangaa wtf!
 
We ulitaka aliwe na nani?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilitamani jamii forum kwenye kureact waongeze option ya kucheka
 
Hao wanawake wana shangilia tuu, wenyewe uki wauliza wana shangilia nini hawajui hata wana shangilia nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…