DrugsNini kimemkuta Joslini!?
Wasanii wa singeliTatizo siku hizi wasanii wamekuwa wengi sana kila nyumba ukienda hukosi msanii.
Inauma sana! Ebu mcheck hapo then utajua sembe sio kitotoNini kimemkuta Joslini!?
Dah mwana kapotea kabisa...Inauma sana! Ebu mcheck hapo then utajua sembe sio kitoto
QJ amekuwa mlevi wa hovyo ukikutana nae anakupiga mzinga wa buku au buku mbili akalewe, lakin bado anajifanya mmarekani.QJ NILISIKIA AMEOKOKA NA NI FUNDI WELDING
Angalia hao wenzio pembeni ndo kundi lake ,wote wamechoka bila kukaa mbali nao atazidi kuharibika na ndo marafiki kachagua hao.Dah mwana kapotea kabisa...
Red giant mtu wangu siku hiz umepotea wapi?sidhani, hao wauza chips wanaingiza pesa kuliko waajiriwa. nafikiri pongezi za mtoa mada ni za dhati.
Nipo hapa na pale mkuu. Humu bado nipo.Red giant mtu wangu siku hiz umepotea wapi?