Msanii Jux amaliza masomo yake nchini China!!!

Bado Mondi....anachukua Masta yake katika chuo Kikuu anachomiliki ZARI the Boss..

South Afrika...[emoji310] [emoji310] [emoji310] [emoji310] Wasafi Classic Baby...!!
 
Mkuu Mbona Bashite kamaliza MUCCOBS au? Nadhani kosa la Bashite ni kutumia cheti cha mtu form four the rest mbona katusua vizuri tu, kuanzia astashahada hadi shahada ya kwanza.

Unajua Bashite kasoma muda gani Muccobs?
 
nimeshangaa sana ka-graduate mwaka 2017 wakati kwa takribani miaka sita tulikuwa tunaambiwa anasoma huko uchina.

au alikuwa anasomea udaktari na upadre?.maana kusoma udaktari au upadre huchukua si chini ya miaka 5 hadi saba.
hahahahah unajua alikuwa hataki kusema ukweli kuwa alikuwa ana rudishwa darasa kila leo...
 
Hicho chuo alicho graduate sipati picha akili zao zipo vipi....

Nacho wapendea wachina hawana ubanguzi wa kimama
hahahahaha yani nami najiuliza alikuwa ana somea nini muda wote huo? kama ni kichwa kigumu basi hicho chuo basi kina wataalam...
 
Mkuu Mbona Bashite kamaliza MUCCOBS au? Nadhani kosa la Bashite ni kutumia cheti cha mtu form four the rest mbona katusua vizuri tu, kuanzia astashahada hadi shahada ya kwanza.

MUCCOBs uliza alisoma miaka mingapi huku akibadilisha na kozi kabisa sogea pembeni
 
MUCCOBs uliza alisoma miaka mingapi huku akibadilisha na kozi kabisa sogea pembeni
Lakini mkuu si alimaliza MUCCOBS, au na hilo unakataa. Miaka ile ya 90's tunasoma SUA kuna jamaa yangu alitumia miaka 6 kwa shahada ya miaka minne 4, kuna wakati yanatokea mambo yanakuchelewesha. Ila hukujibu swali langu alafu kama vile umekasirika.
 
Unajua Bashite kasoma muda gani Muccobs?
Suala ni kumaliza chuo au ni muda aliotumia?Mbona watu kibao wanatumia zaidi ya muda uliowekwa mkuu. Mi niliuliza Jux alisoma level gani na kuna waliouliza mbona katumia muda mrefu? But tumeacha mjadala na tunaongea mengine, jioni njema mkuu
 
Sorry mkuu, nadhani sikuwa nimekuelewa vizuri.

Ila moja ya watu walioliza kuhusu jamaa kusoma kwa muda mrefu ni Ruttashobolwa ambaye ni Team Bashite, kwa hiyo nikajua probably na wewe uko kule, ndo maana nikam-quote kumuuliza kuhusu muda aliosoma pale Muccobs.

Sikukusoma vizuri kabla ya kuku-qoute kaka, nisamehe.
 
Tuko pamoja mkuu.
 
Kila kitu kutoka China sikitilii maanani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…