tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,482
Basi jamaa Mjanja atakuwa amewakaza Sana mademu wa kichina , unajua tz atujulikane kiivyo kuepusa maswali mengi inabidi adanganyeHuyu mchizi niliwahi kuskia kwamba alipokuwa mwaka wa kwanza huko China, alikuwa anawaambia wanafunzi wenzie yeye ni black american hili kuepusha kudharauliwa.
Anyway hongera zake nyingi kwa kumaliza salama hicho alichokuwa anakisomea.