Msanii Jux amaliza masomo yake nchini China!!!

Wasio na elimu utawajua tu kwa chuki zao, mwenzao kaamua kusoma kapata yake wao povu, hata kama kachukua degree ya muziki ni hongera kwake, kama haina faina aanze kutukanwa alie asisi hizo degree..povu jingi bila sababu za msingi..
 
Alikuwa anasoma kwenye moja ya tawi la zoom polytechnique college
 
Hicho chuo alicho graduate sipati picha akili zao zipo vipi....

Nacho wapendea wachina hawana ubanguzi wa kimama
China kuna mpaka Digrii ya Kupanda na Kupanga Maua (BSc. Flower Planting & Arrangement)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…