Msanii Kala Jeremiah yuko wapi siku hizi?

ZVI ZAMIR

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
921
Reaction score
2,163
Nadhani wengi wenu humu mnamfahamu huyu msanii wa miondoko ya Kufoka wanaita HIP HOP, alikuwa moja ya matunda ya Bongo star search..

Ni muda sasa sijamsikia na Wimbo wowote ule mpya .. Ningependa kufahamishwa kama kaachana na Muziki au la!
Niko nasikiliza Kibao chache cha NI NDOTO..
 
kutekwa si mchezo acha upepo upite kwanza
 
Jamaa anajua, atakuwa anajipanga na kuipanga mistari maana siku hizi ukijifanya mse maji wa kitongoji unapotea kisanii
 
Yupo anajiandaa kutoa wimbo mpya, unaitwa kijana labda wiki hii anaweza kurelease
 
Alikuwa na ndoto za kuacha Mziki akasomee sheria labda tyr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…