Msanii Kali P hataki tena kusikia muziki

Msanii Kali P hataki tena kusikia muziki

Muziki wa zamani haukuwa na hela ndio maana wanauchukia.

Internet na Digital platforms ndio zimeleta utajiri kwenye muziki. Leo hii ray vanny anapewa ubalozi wa tembo card crdb na kukunja milioni 500. Anaanzia wapi kuuchukia mziki.

Huwezi msikia alikiba aseme anauchukia mziki.. huku ameimba toka enzi za kina Kali P wanaimba
Sasa na wakina Loon utasemaje?
 
Kumrudia muumba ni jambo moja.

Kuchukia kabisa maisha ya awali ni dalili za ukichaa.
Ukizingatia wimbo uliomtoa ulikuwa na ujumbe mzuri sana kwa askari polisi.

Imani ukiimeza kichwa kichwa unakuwa kama kichaa.
 
Back
Top Bottom