Alijua kujilipua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila mwenyewe amerudi mjini na akakuta gari limemuachaNani ana video ya mzee yusuph wakati anaaga kuacha muziki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Gari limemuacha....π€£π€£π€£Alijua kujilipua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila mwenyewe amerudi mjini na akakuta gari limemuacha
πππππAlijua kujilipua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila mwenyewe amerudi mjini na akakuta gari limemuacha
Watu takbiiiiiiirrr...Nani ana video ya mzee yusuph wakati anaaga kuacha muziki π€£π€£π€£
Kaswida yenyewe mnanunuaaa?.Mzee Yusufu alijua akiimba Kaswida angeoiga hela, kwahiyo na hao masheikh walio mzunguka walikuwa wajanja wajanja, ndio maana ikawa rahisi kurudi.
Wapo ambao Nia zao zilikuwa njema na Allah akawafanyia wepesi wakabaki katika msimamo na hawakurudi na hawatorudi.
Mziki ni Ushetani kama akili yako inakuwa nafanya kazi vizuri uhitaji kuambiwa.
Kwanza kiislamu Qaswida ni haramu. Jambo lisilo faa.Kaswida yenyewe mnanunuaaa?.
KumbeeKwanza kiislamu Qaswida ni haramu. Jambo lisilo faa.
Naam.Kumbee