juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Ni kweli usemayoduh kaka bila shaka utakuwa kwenye gemu la bongoflava wewe
Clouds ni chombo cha burudani dogo, ukitaka habari zipo ITV, BBC, CNN ands likes. Grow up kid.Kuna wasanii hapa wana beef na redio hasa clouds fm,kwangu mimi naona ni ujinga sana msanii kuweka beef na chombo cha habari na mwishowe wanatugawa tu mashabiki wao.harafu unakuta beef zenyewe eti kisa tu redio inawabania kupiga ngoma zao.sasa jamani kwani ni lazima redio ipige ngoma zako??