Msanii kuwa na beef na redio ni kutugawa mashabiki

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Kuna wasanii hapa wana beef na redio hasa clouds fm,kwangu mimi naona ni ujinga sana msanii kuweka beef na chombo cha habari na mwishowe wanatugawa tu mashabiki wao.harafu unakuta beef zenyewe eti kisa tu redio inawabania kupiga ngoma zao.sasa jamani kwani ni lazima redio ipige ngoma zako??
 
Clouz ni wa pu mbavu Sana wale bila pesa hawapigi nyimbo wale
 
Kuna wasanii hapa wana beef na redio hasa clouds fm,kwangu mimi naona ni ujinga sana msanii kuweka beef na chombo cha habari na mwishowe wanatugawa tu mashabiki wao.harafu unakuta beef zenyewe eti kisa tu redio inawabania kupiga ngoma zao.sasa jamani kwani ni lazima redio ipige ngoma zako??
Clouds ni chombo cha burudani dogo, ukitaka habari zipo ITV, BBC, CNN ands likes. Grow up kid.
 
Back
Top Bottom