Msanii Kwesta anajua sana aise...

Msanii Kwesta anajua sana aise...

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Kwa wapenzi wa Rap za S.A mtakubaliana nami kua huyu nigga anajua sana na hili lisauti lake....
Anajua kuitumia besi yake haswa. Siku zijazo naona hata Cassper Nyovest ataachwa mbali. Biti kali flow za kibabe.
Kashamgaragaza Rap wa ngu pendwa K.O. naona K.O kukaa kimya kwake muda mrefu ndo kumemtoa relini.. Japo hua sielew wanaimba nini ila Huyu jamaa napenda nyimbo zake sana. Tupa kule Kid X, Anatii, Rick ricky, , cassper, K.O, Emtee, Major league djz, A.K.A na wengineo (Nasty C pia yuko on fireee)
Sikiliza ngoma zake kama
Ngud
Spirit
Na hii vur vai utakubaliana namii
 


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Akiwa na Rapper Wale


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Ila huyu bishoo wangu naona kwake Bangi ni mboga mboga..
Akiwa na Cassper Nyovest


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
79ffe77f6859adb608501ebdb4d8b70a.jpg


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
huyo muhuni anajua...hilo lingoma la spirit alitisha sana...
 
Write your reply...mkuu umeongea kweli apa sauzi tunamkubali kwesta sana mwaka Jana amekua featuring nyimbo nyingi sana
 
Write your reply...mkuu umeongea kweli apa sauzi tunamkubali kwesta sana mwaka Jana amekua featuring nyimbo nyingi sana
Yap na hua anaua sana tu nashangaa wanao mpa kichwa Emtee wanamsahau kwesta na Nasty C

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom