Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
msanii wa muziki judith wambura..au lady jay dee..kwa umaruufu..wake kwamba siku ya jumatatu anatarajiwa
kufikishwa mahakamani katika mahakama ya wilaya ya kinondoni......
akizungumza kupitia page yake facebook,twitter amesema kwamba amepokea barua toka mahakamani kuwa
anatakiwa kufika...lakini katika barua hiyoo hawajaeleza chanzo cha yeye kupelekwa mahakamani
source;yeye mwenyewe,..kwenye account yake ya twitter na facebook
Naruka mwenyeweee yelela...yelela.. Na RUGE mwenyewe ... yelela yelelaaa.....
msanii wa muziki judith wambura..au lady jay dee..kwa umaruufu..wake kwamba siku ya jumatatu anatarajiwa
kufikishwa mahakamani katika mahakama ya wilaya ya kinondoni......
akizungumza kupitia page yake facebook,twitter amesema kwamba amepokea barua toka mahakamani kuwa
anatakiwa kufika...lakini katika barua hiyoo hawajaeleza chanzo cha yeye kupelekwa mahakamani
source;yeye mwenyewe,..kwenye account yake ya twitter na facebook
Ruge anataka kutunyima uondo wa tarehe 15 May kupitia Restrain Order. Anataka pia kuvuluga maandalizi ya Anniversary ya Jide. Alipata kufanya hivyo pia kwa Mapacha. Aliwafungulia kesi isiyo na kichwa wala miguu, wakakamatwa mida ya kuelekea weekend, wakasota mpaka J3 lakini mwisho wa yote aliwapa umaarufu na kesi ikatupiliwa mbali! Ni aibu jinsi cartels zinavyochezea vyombo vya dola.
Namshauri Jide kabla ya kwenda mahakamani aupakue mzigo kamili kupitia mitandao tofauti na ile Blog yake na asitumie Acc zake za fb na Twitter. Hapo atakuwa kawala denge.
Nawashauri pia Clouds FM wabadili slogan yao iwe "Radio ya Mtu" na siyo Radio ya Watu.
kajibishana kaona mambo yana kwenda vibaya bora kukimbilia mahakamaniRuge kajishusha sana kubishana dada jide ata ivyo clouds ni wanyonyaji wakubwa sana rip clouds