Msanii Lad JayDee kupelekwa mahakani siku ya Jumatatu...

Msanii Lad JayDee kupelekwa mahakani siku ya Jumatatu...

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
msanii wa muziki Judith Wambura..au Lady JayDee..kwa umaruufu..wake kwamba siku ya Jumatatu anatarajiwa
kufikishwa mahakamani katika mahakama ya wilaya ya Kinondoni......

akizungumza kupitia page yake facebook,twitter amesema kwamba amepokea barua toka mahakamani kuwa
anatakiwa kufika...lakini katika barua hiyoo hawajaeleza chanzo cha yeye kupelekwa mahakamani

source;yeye mwenyewe,..kwenye account yake ya twitter na facebook
 
msanii wa muziki judith wambura..au lady jay dee..kwa umaruufu..wake kwamba siku ya jumatatu anatarajiwa
kufikishwa mahakamani katika mahakama ya wilaya ya kinondoni......

Au yote sababu yaa... sababu yaa... Clouds fm/tv/manager/director?
Sijui, ngoja tusubiri mnyukano mahakamani.
 
Bi Kizee na waume zake wa zamani!kisa mapenzi gani haya?
 
huyo ni ruge sasa sijui ame fungua case ya kuchafuliwa? na kwa nini akupeleka hayo mambo mahakamani tangu mwanzo na yeye akatumia radio yake kuyaongelea na baadae ndio ana kimbilia mahakamani? hapa hakuna kitu Ruge ana zuia jyde asifunguke zaidi tarehe 15

Ruge ameogopa joto hasira hahahahahahahaha

sasa kama aliona radio ni suluhu kwa nini ana kimbilia mahakamani?
 
msanii wa muziki judith wambura..au lady jay dee..kwa umaruufu..wake kwamba siku ya jumatatu anatarajiwa
kufikishwa mahakamani katika mahakama ya wilaya ya kinondoni......

akizungumza kupitia page yake facebook,twitter amesema kwamba amepokea barua toka mahakamani kuwa
anatakiwa kufika...lakini katika barua hiyoo hawajaeleza chanzo cha yeye kupelekwa mahakamani

source;yeye mwenyewe,..kwenye account yake ya twitter na facebook

Barua ya kuitwa shaurini lazima itaje shauri lenyewe, mshitaki na mshitakiwa. Ebu mwambieni aiweke hapa hiyo barua tuione, huenda huyu dada na yeye anatuchezea tu!
 
Hakuna njia nyingine amabyo anaweza ruge kuitumia kumfunga mdomo jyde zaidi ya mahakamani na hapa ana kwenda kuomba restrain order ili jyde asiendelee kufunguka hasa may 15.

Kumbe mahakama ni muhimu, sasa mbona alitumia radio yake naye kutoa tuhuma?
hahahaha naona Ruge kaona bora ni kimbilie mahakamani maana huku mtaani hali mbaya na nilijua Ruge asingeweza kupambana na jyde kwa njia ya kutumia media.na alipo chemka ni kwenda kuliongelea kwenye media huku akijua kuna mahakama.

Na kinacho tafutwa hapa ni kusuluhisha lakini kwanjia ya mahakama ina acha makovu mengi kwa wahusika na hakutokuwa na suluhu milele. hahahahahahahaha aiseee kweli huyu binti ni komando lets wait.

#joto hasira#
 
Wasanii wetu tabu tu! Dada yetu naye amezipata pesa zitamtoka kutafuta wataalamu wa sheria! TID aliwekwa ndani yasije yakampata dada yetu!
 
bhosi manzi ga nyanza.kuna uzio mwembambasana kama c o transparent kati LOVE and HATE na kila pande very concetrared.so uzio ukitumbuka tu nyongo au tindikali ya upande mmoja ukaingia upande wa pili matokeo yake......!
 
copy utaenda mahakama bila kujua kuna nini
 
Ruge anataka kutunyima uondo wa tarehe 15 May kupitia Restrain Order. Anataka pia kuvuluga maandalizi ya Anniversary ya Jide. Alipata kufanya hivyo pia kwa Mapacha. Aliwafungulia kesi isiyo na kichwa wala miguu, wakakamatwa mida ya kuelekea weekend, wakasota mpaka J3 lakini mwisho wa yote aliwapa umaarufu na kesi ikatupiliwa mbali! Ni aibu jinsi cartels zinavyochezea vyombo vya dola.

Namshauri Jide kabla ya kwenda mahakamani aupakue mzigo kamili kupitia mitandao tofauti na ile Blog yake na asitumie Acc zake za fb na Twitter. Hapo atakuwa kawala denge.

Nawashauri pia Clouds FM wabadili slogan yao iwe "Radio ya Mtu" na siyo Radio ya Watu.
 
Ruge ni dhaifu asinge weza kupambana na jide kabisa na kama alijua umuhimu wa mahakama kwa nini alikwenda kuyaongea kwenye radio yake? anaogopa mambo yange mwaga hadharani bora akimbilie kwenye restrain order na sijui wata hi grant kwa muda gani? hakika jyde ni komando hadi jamaa kaona bora akimbilie mahakamani maana tarehe 15 ilikuwa ina karibia.
 
Ruge kajishusha sana kubishana dada jide ata ivyo clouds ni wanyonyaji wakubwa sana rip clouds
kajibishana kaona mambo yana kwenda vibaya bora kukimbilia mahakamani
 
Hili joto hasira ambaaaaaa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom