Hakuna njia nyingine amabyo anaweza ruge kuitumia kumfunga mdomo jyde zaidi ya mahakamani na hapa ana kwenda kuomba restrain order ili jyde asiendelee kufunguka hasa may 15.
Kumbe mahakama ni muhimu, sasa mbona alitumia radio yake naye kutoa tuhuma?
hahahaha naona Ruge kaona bora ni kimbilie mahakamani maana huku mtaani hali mbaya na nilijua Ruge asingeweza kupambana na jyde kwa njia ya kutumia media.na alipo chemka ni kwenda kuliongelea kwenye media huku akijua kuna mahakama.
Na kinacho tafutwa hapa ni kusuluhisha lakini kwanjia ya mahakama ina acha makovu mengi kwa wahusika na hakutokuwa na suluhu milele. hahahahahahahaha aiseee kweli huyu binti ni komando lets wait.
#joto hasira#
Mpaka kufikia jumatatu hatujaombwa msamaha watu wa kaskazini tangulia mahakamani!Mhaya gani mwenye roho mbaya kama za watu wa kaskazini?
Asitupigie kelele bwana, huyu mdada vipi mbona anajitoa fahamu? huyu JD anataka kuleta sheria zake kwenye chombo cha watu. AFUNGUE REDIO YAKE FINITO
maskini dada wa watu aliamua kukaa mbali lakini bado mnamfuata kwenye biashara zake na mnataka akae kimya....mna roho mbaya sana nyie watu,akiongea mnautangazia umma eti muda wake umeisha na mijinga yote inaitikia ndioo ruge kasema jide kashaisha.
Mwizi wa jasho la wasanii Ruge ameshindwa vita.
Nimeliondoa hilo nenoMpaka kufikia jumatatu hatujaombwa msamaha watu wa kaskazini tangulia mahakamani!
Umeona enheee...?Go Jide
ruge anategemea na dola....Jide anategemea nguvu ya ummmmaaaaa...mpooooooooo
ni kweli ile ni redio ya watu RUGE NA KUSAGARuge anataka kutunyima uondo wa tarehe 15 May kupitia Restrain Order. Anataka pia kuvuluga maandalizi ya Anniversary ya Jide. Alipata kufanya hivyo pia kwa Mapacha. Aliwafungulia kesi isiyo na kichwa wala miguu, wakakamatwa mida ya kuelekea weekend, wakasota mpaka J3 lakini mwisho wa yote aliwapa umaarufu na kesi ikatupiliwa mbali! Ni aibu jinsi cartels zinavyochezea vyombo vya dola.
Namshauri Jide kabla ya kwenda mahakamani aupakue mzigo kamili kupitia mitandao tofauti na ile Blog yake na asitumie Acc zake za fb na Twitter. Hapo atakuwa kawala denge.
Nawashauri pia Clouds FM wabadili slogan yao iwe "Radio ya Mtu" na siyo Radio ya Watu.
ndio tunasubr nan zaid,na cku hzi mahakama zetu kdgo zpo fear
Ruge kashakuwa ki2ko mbele ya umma....mijitu mingine bana eti ant-pirates movement!! kweli nimeamini usemi usemao "MCHAWI NDO ANALIA SANA MSIBANI" ##bravoooo *JiDe*
TeAm AnaCoNdA##