Msanii Lad JayDee kupelekwa mahakani siku ya Jumatatu...

Msanii Lad JayDee kupelekwa mahakani siku ya Jumatatu...

dah sasa hapo naona wanataka waanze kumfilisi huyo mama kwa kumhudhurisha mahakamani. mwisho wa siku itakuwa "if u cant fight them join them."
 
Hakuna njia nyingine amabyo anaweza ruge kuitumia kumfunga mdomo jyde zaidi ya mahakamani na hapa ana kwenda kuomba restrain order ili jyde asiendelee kufunguka hasa may 15.

Kumbe mahakama ni muhimu, sasa mbona alitumia radio yake naye kutoa tuhuma?
hahahaha naona Ruge kaona bora ni kimbilie mahakamani maana huku mtaani hali mbaya na nilijua Ruge asingeweza kupambana na jyde kwa njia ya kutumia media.na alipo chemka ni kwenda kuliongelea kwenye media huku akijua kuna mahakama.

Na kinacho tafutwa hapa ni kusuluhisha lakini kwanjia ya mahakama ina acha makovu mengi kwa wahusika na hakutokuwa na suluhu milele. hahahahahahahaha aiseee kweli huyu binti ni komando lets wait.

#joto hasira#

hivi hakuna njia yeyote ambayo anaweza akaikwepa hiyo restrain order amalizie hiyo hadithi yake? au mahakama ikishaamua hupewi mda wa kujielezea tena?
 
Mwizi wa jasho la wasanii Ruge ameshindwa vita.
 
Asitupigie kelele bwana, huyu mdada vipi mbona anajitoa fahamu? huyu JD anataka kuleta sheria zake kwenye chombo cha watu. AFUNGUE REDIO YAKE FINITO
 
Asitupigie kelele bwana, huyu mdada vipi mbona anajitoa fahamu? huyu JD anataka kuleta sheria zake kwenye chombo cha watu. AFUNGUE REDIO YAKE FINITO

maskini dada wa watu aliamua kukaa mbali lakini bado mnamfuata kwenye biashara zake na mnataka akae kimya....mna roho mbaya sana nyie watu,akiongea mnautangazia umma eti muda wake umeisha na mijinga yote inaitikia ndioo ruge kasema jide kashaisha.
 
maskini dada wa watu aliamua kukaa mbali lakini bado mnamfuata kwenye biashara zake na mnataka akae kimya....mna roho mbaya sana nyie watu,akiongea mnautangazia umma eti muda wake umeisha na mijinga yote inaitikia ndioo ruge kasema jide kashaisha.

Mara nyingi ugomvi wa mwanamke na mwanaume si wa kuuvalia njuga sana, so kaka yangu we nenda ukafanye yako kwani haya ya jide na ruge ni marefu hasa
 
Ruge kashakuwa ki2ko mbele ya umma....mijitu mingine bana eti ant-pirates movement!! kweli nimeamini usemi usemao "MCHAWI NDO ANALIA SANA MSIBANI" ##bravoooo *JiDe*


TeAm AnaCoNdA##
 
joto hasiraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....clouds radio ya mtuuuuuuuuuuuuuuuu...tenaaaaaaaaaaaaaa..............komandoooooooooooo
 
Ruge anataka kutunyima uondo wa tarehe 15 May kupitia Restrain Order. Anataka pia kuvuluga maandalizi ya Anniversary ya Jide. Alipata kufanya hivyo pia kwa Mapacha. Aliwafungulia kesi isiyo na kichwa wala miguu, wakakamatwa mida ya kuelekea weekend, wakasota mpaka J3 lakini mwisho wa yote aliwapa umaarufu na kesi ikatupiliwa mbali! Ni aibu jinsi cartels zinavyochezea vyombo vya dola.

Namshauri Jide kabla ya kwenda mahakamani aupakue mzigo kamili kupitia mitandao tofauti na ile Blog yake na asitumie Acc zake za fb na Twitter. Hapo atakuwa kawala denge.

Nawashauri pia Clouds FM wabadili slogan yao iwe "Radio ya Mtu" na siyo Radio ya Watu.
ni kweli ile ni redio ya watu RUGE NA KUSAGA
 
Back
Top Bottom