Naruka mwenyeweee yelela...yelela.. Na RUGE mwenyewe ... yelela yelelaaa.....
hahahahahahahaha!!!!!baba v umetisha kaka,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naruka mwenyeweee yelela...yelela.. Na RUGE mwenyewe ... yelela yelelaaa.....
Tarehe 15 alikuwa anataka kufunguka zaidi kuhusu ruge na kusaga wala si tarehe ya show yake, show yake ni tarahe 30.Ninamini kuwa Jd ana advocate wake! Hawwezi kuitwa mahakamani kama vile ameitwa na baba yake. Kwenye order ya kuitwa mahakamani lazima wa ainishe anaitiwa nini. SO kama ana advocate mzuri anaweza kuweka objections regarding the event scheduled on 15th. Gharama na maandalizi aliyokwisha ingia might be considered otherwise.
Hope wakili wake anaweza ku act fast on this ssoonest. All the best JD
Naruka mwenyeweee yelela...yelela.. Na RUGE mwenyewe ... yelela yelelaaa.....
barua ya kuitwa shaurini lazima itaje shauri lenyewe, mshitaki na mshitakiwa. Ebu mwambieni aiweke hapa hiyo barua tuione, huenda huyu dada na yeye anatuchezea tu!
Mhaya gani mwenye roho mbaya kama za watu wa kaskazini?Ruge anataka kutunyima uondo wa tarehe 15 May kupitia Restrain Order. Anataka pia kuvuluga maandalizi ya Anniversary ya Jide. Alipata kufanya hivyo pia kwa Mapacha. Aliwafungulia kesi isiyo na kichwa wala miguu, wakakamatwa mida ya kuelekea weekend, wakasota mpaka J3 lakini mwisho wa yote aliwapa umaarufu na kesi ikatupiliwa mbali! Ni aibu jinsi cartels zinavyochezea vyombo vya dola.
Namshauri Jide kabla ya kwenda mahakamani aupakue mzigo kamili kupitia mitandao tofauti na ile Blog yake na asitumie Acc zake za fb na Twitter. Hapo atakuwa kawala denge.
Nawashauri pia Clouds FM wabadili slogan yao iwe "Radio ya Mtu" na siyo Radio ya Watu.
Tarehe 15 alikuwa anataka kufunguka zaidi kuhusu ruge na kusaga wala si tarehe ya show yake, show yake ni tarahe 30.
Na hapa RUGE anachotaka ni restrain order kutoka mahakamani ambayo itamfanya jyde asiendelee kufunguka zaidi.
Na kama amefungua case ni kuhusu defamation lakini asisahau na yeye alitumia chombo chake cha habari.
Nia yake ni kumziba komando jyde mdomo lakini sidhani kama ataweza.
Daa Ruge kumbe battle hawezi kabisa.
Mhaya gani mwenye roho mbaya kama za watu wa kaskazini?
Roho mbaya haina kabila, dini wala chama cha siasa. Na ubaya hauna kwao wala hauna Kabila! Wajua historia ya Wasamaria? Wengi wakisikia "Msamaria Mwema" hudhani Wasamaria ni watu wa huruma, matendo mema na ya haki. La hasha! Ni yule mmoja tu aliyemwonea huruma mtu aliyemkuta njiani akiwa ameshambuliwa na majambazi; wamemwibia kila kitu alichokuwa nacho, wamempiga wakamwacha karibu ya kufa. Yeye alipomkuta, alimwonea huruma, akamwendea akasafisha majeraha yake kwa divai na mafuta, akayafunga. Kisha akamweka kwenye punda wake akaenda naye mpaka nyumba ya wageni ambapo alimtunza. Kesho yake, yule Msamaria alipokuwa anaondoka, akampa mwenye nyumba ya wageni fedha akamwomba amtunze yule mgonjwa na akaahidi kulipa gharama yo yote ya ziada atakaporudi.Mhaya gani mwenye roho mbaya kama za watu wa kaskazini?
Mhaya gani mwenye roho mbaya kama za watu wa kaskazini?
tomaso!
Mhaya gani mwenye roho mbaya kama za watu wa kaskazini?