Msanii Langa afariki Dunia!

General

Member
Joined
Jul 8, 2008
Posts
34
Reaction score
2


Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii.

Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui. Anadaiwa kuwa alikumbwa na Malaria kali sana, Hali iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili jana.

Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.

Msanii Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na witness na sara ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania.

Mungu amrehemu.

***************
Post yake kumwaga Ngwea kwenye Facebook ilikuwa hivi:


***************

Na,
===============
Kwa wasiomjua Langa

 

Attachments

  • langa.jpg
    27.1 KB · Views: 24,021
  • langa-post-fb.jpg
    14 KB · Views: 12,588
Sure as the sun will set in a few hours
 
Da! Nini tatizo. If ni kweli very sad.
RIP
 
Jina kamili na taarifa japo kwa kifup km alikuwa anaumwa or ni ajali?Msiba wameweka wap n.k,R.I.P
 
madawa ya kulevya yatawamaliza madogo na list itakuwa kubwa sana na ndefu
 
leta habari kamili basi chanzo cha hiyo taarifa,umekuja kizushi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…