Msanii Langa afariki Dunia!

Msanii Langa afariki Dunia!

Inaumaa sana kuwapoteza vijana wadogo huku Rais akiwafahamu wauzaji wa madawa kwa majina. Serikali legelege inaongoza kwa kufukuzana na wamachinga mabarabarani huku ikiwa corupt na wafanya biashara.
RIP mdogo wangu
Bwana ametoa, bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
 
Du,kwan naye alikuwa mzungu???Ni vibaya km tutasema vitu ambavyo halikuwa havitumii
 
BREKING NEWS: Msanii wa Hip Hop
LANGA amefariki dunia...

Taarifa za awali zinasema kuwa Alikuwa ICU since jana, and he was fighting Malaria...and he was pronounced dead about 45min ago!! #LANGA is no more!"

source DJ choka blog
 
Ila huyu jamaa kuna kipindi madawa ya kulevya yalimuharibu. R.I.P Langa.
 
Uchunguzi uliofanywa na america medics canter unaonesha watumia madawa [cocaine heroine] na mengine wakishakuwa addicted kwa 80% ata ugonjwa kama homa unaweza kuwachukua in a second hata kama walishaacha mda!!
 
attachment.php


Langa (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii.

Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui.

Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.

Msanii Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na witness na sara ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania.

Mungu amrehemu.

malaria kali ndio imemuondoa mteja huyu anayefuata ni nani stay tuned..
 
kunastarehe nyingi zaidi ya drugs nduguzanguni, R.i.p kijana.
 
RIP hiphop commander.
Ndio alikuwa ameanza vita dhidi ya madawa ya kulevya kupitia sanaa yake.
 
Lala salama Langa umemaliza safari yako Hapa duniani pumzika kwa amani
 
Back
Top Bottom