Msanii Langa afariki Dunia!

Msanii Langa afariki Dunia!

Dah!! Kama ni kweli R.I.P Rais Wa Ghetto....Nakumbuka Xmass ya mwaka 2001 Kilimanjaro ...tulikuwa watoto wema na wenye akili Za kutosha

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
 
Dah!! Kama ni kweli R.I.P Rais Wa Ghetto....Nakumbuka Xmass ya mwaka 2001 Kilimanjaro ...tulikuwa watoto wema na wenye akili Za kutosha

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums

Kama ni kweli Mungu ailaze mahala pema peponi Ameen!
 
Nimejaribu kufuatilia katika blogs na vyanzo vingine vya habar,nimekuta NI KWELI LANGA KAFARIKI LEO saa kumi jioni za huko tanzania. Langa alikuwa amelazwa muhimbili tangu ijumaa,baada ya kushikwa na malaria kali na kumfanya ashindwe hata kujitambua.
Najua yatajitokeza mengi likiwemo la kutumia unga lakini kuna siku niliwahi kusema humu kuwa ni vema tukawa tunawasaidia hawa vijana wakat hawajaharibikiwa zaidi kuliko kuonesha kuwafaha zaidi wakisha patwa nam atatizo kama hivi.
Eeehh MUNGU ibariki nchi yanhu tanzania wabariki na vijana wote.
 
madawa ya kulevya yatawamaliza madogo na list itakuwa kubwa sana na ndefu

bado TID,hatumuombei ila akiacha unga atasalimika,na kwa bahat mbaya medi zetu huwa zinaficha ukweli wa mambo,Langa alikuwa anaenda sana mwananyamala maeneo ya Cabacabana bar kwa ajili ya kufata UNGA
 
bado TID,hatumuombei ila akiacha unga atasalimika,na kwa bahat mbaya medi zetu huwa zinaficha ukweli wa mambo,Langa alikuwa anaenda sana mwananyamala maeneo ya Cabacabana bar kwa ajili ya kufata UNGA

Once ur In always In...
Unafikiri kuacha poda ni sawa na kuacha mke au hawala?
poda nyoko,,,
 
langa.jpg

Msanii wa hip hop nchini kwa jina la langa amefariki katika hosipitali ya muhimbili kwa malaria ghafra. habari zinasema kuwa amefariki kwa malaria kali!
 
Mbona tuna stuana mazee! Huyu dogo nimemsikia kwenye radio ya gari yangu aidha jana jioni au leo asubuhi kwamba kuna watu wana msingizia kwamba amerudi kwenye kula madawa. Yeye alikuwa anakanusha. Amekufa saa ngapi duh!
 
Back
Top Bottom