Msanii Langa afariki Dunia!

Msanii Langa afariki Dunia!

Hivi wanakula 'unga' wa aina gani hawa wanakufa hivi!?
 
~Amani kwa kaka voda miliönea waambie mdogo wako aache ushoga na umbea
~Nilianza kuvaa gwanda kabla ya dr slaa
~ukitaka kumficha mwafrika weka ujumbe kwenye vitabu mie natumie mziki kufikisha ujumbe kwa watu
~Wananichekea usoni kisogoni wananisema wanatafuta mabaya utadhani hawaoni mema
~shukran kwa nyerere alicheza utadhan pele kuendeleza kiswahil mikoan na mbelembele tunamfagilia mzungu wakati tuna shida tele kingeleza bila hela ni sawa na kupiga kelele
 
attachment.php


langa kileo (msanii wa hip hop tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii.

Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui. Anadaiwa kuwa alikumbwa na malaria kali sana, hali iliyopelekea kukimbizwa hospitali ya muhimbili jana.

Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.

Msanii langa aliwahi kutamba na kikundi cha wakilisha pamoja na witness na sara ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo flava nchini tanzania.

Mungu amrehemu.

===============
kwa wasiomjua langa


r.i.p langa.
 
tatizo mateja wa bongo wanakula Unga Mchafu. r.i.p real nigga.
 
Kuna haja ya dhati kwa wasanii kumrudia Mungu.

Maana hii inakuwa kama ni adhabu ya kuwakumbusha kwamba wasibweteke kwa mafanikio kidogo wayapatayo na kumsahau Mungu wao.
 
There are currently 3675 users browsing this
thread. (135 members and 3540 guests)
 
Back
Top Bottom