duh kweli mwaka huu kazi ipo.lakin jammaa si aliacha kula unga?au allirudia tena?
Langa yupi? Yule tejaaaa? Ambae alisema ameacha?
He!!
Ndo maana yake,mimi hawa wanamziki underground hata siwafahamu,mimi kumfahamu msanii ni mpaka afahamike hasa.
Hilo swali nadhan sio muhim muhim angalia hoja na uchangie,asnte lakin
Hilo swali nadhan sio muhim muhim angalia hoja na uchangie,asnte lakin
Kile kijiwe wote asilimia kubwa ni watu wa sembe. babuu wa kitaa ndo sasa hivi boss wao kiasi kwamba akija wanampigia makofi. ambaye nahisi lakini sijashuhudia ni masele cha pombe. kwa ufupi kile kijiwe wote ni manyoka. dark master, mangwair, rado, coin nk wanashinda kule wakitoka pale wanaenda kulala. Sasa hivi wamepoteza watu wawili (ranga na ngwair) ndo maana nikasema king'oko ifungwe. kuna kipindi liz1 alikua anajipitisha pale. miainamaana na babuu nae anatmia?
Free ideas zamani ulikua unatumia jina gani hapa JF? Maana leo ni siku ya tatu toka uwe member kwa ID ya Free ideas
Dah lakini Langa hajafa kwa madawa alishaacha ni malaria, hapo ndo tujue kifo kinapangwa na Mungu mwenyewe siku ikifika