Msanii Langa afariki Dunia!

Msanii Langa afariki Dunia!

R.I.P Langa....Clouds kama kawaida yenuuuuuuu mtamrusha sana ila ndo hivyo alipokuwa hai mlikuwa hamumrushi....kazi kwenu radio ya maombolezo ya wasanii..leo hata sport extra sickilizi
 
duh kweli mwaka huu kazi ipo.lakin jammaa si aliacha kula unga?au allirudia tena?

Pamoja na kuwa hakuwa ameacha unga lakini kilichomuua ni Malaria kali.R.I.P Langa..
 
Lala salama Langa,

---------------------------------------

Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama vile kivuli, wala hakai kamwe. AYUBU 14: 1 - 2
-------------------------
Najua umeacha funzo kwa uliowaacha duniani, ulikuwa mfano wa vijana wengi walioingizwa kwenye madawa ya kulevya na ukasimama kiume na kugeuka. Hata hivyo kazi yako imekwisha sasa. Nakutakia mapumziko mema! Nasi tunafuata!
 
Hilo swali nadhan sio muhim muhim angalia hoja na uchangie,asnte lakin

Jibu swali hapa, acha kukimbilia kusema ni changie! Sio kila 'uzi' lazima mtu achangie.

Hata kukuuliza swali ni mchango wangu kwa wana-jamvi kuweka record zao sawa!

Wewe unaoneka una ID mbili hapa JF kulinga na maelezo yako katika kuchangia huu Uzi.
 
Labda jamaa hakuacha alikuwa anaendelea kugonga kisiri
 
Duuuh inasikitisha sana. Resace In Peace Langa.
 
Hilo swali nadhan sio muhim muhim angalia hoja na uchangie,asnte lakin

Jibu swali hapa, acha kukimbilia kusema ni changie! Sio kila 'uzi' lazima mtu achangie.

Hata kukuuliza swali ni mchango wangu kwa wana-jamvi kuweka record zao sawa!

Wewe unaoneka una ID mbili hapa JF kulinga na maelezo yako katika kuchangia huu Uzi.
 
R.i.p Langa, you left something behind u.
 
inamaana na babuu nae anatmia?
Kile kijiwe wote asilimia kubwa ni watu wa sembe. babuu wa kitaa ndo sasa hivi boss wao kiasi kwamba akija wanampigia makofi. ambaye nahisi lakini sijashuhudia ni masele cha pombe. kwa ufupi kile kijiwe wote ni manyoka. dark master, mangwair, rado, coin nk wanashinda kule wakitoka pale wanaenda kulala. Sasa hivi wamepoteza watu wawili (ranga na ngwair) ndo maana nikasema king'oko ifungwe. kuna kipindi liz1 alikua anajipitisha pale. mia
 
mweee!jamani!
wasanii hebu badilisheni life styles jamani!
ni nini hiki!
hata mimi nitakufa lakini hivi vifo vya manguli wa hii sanaa ya miaka ya 90's si swala la kuwa tu kila mja atakufa!
yapo mambo wanayafanya ambayo yanafanana!
 
Mkuu MamaBeata, je unajua athari za madawa ya kulevya baada ya kuyatumia heavly kwa muda mrefu zinakuwaje? Je unajua yanaathiri organ gani hasa? Kiukweli sijui in detail lkn madawa yanatumalizia sana wadogo zetu, binafsi Langa kaniuma sana kwa sababu nilikuwa sijui ya kuwa alipitia katika kipindi cha kuwa teja wa kutupwa na ikafikia kukaba roba, mwenyezi Mungu aisaidieroho yake kule iliko!
Dah lakini Langa hajafa kwa madawa alishaacha ni malaria, hapo ndo tujue kifo kinapangwa na Mungu mwenyewe siku ikifika
 
Last edited by a moderator:
Sote ni wa Allah SW na kwake tutarejea........RIP..........
 
Back
Top Bottom