Msanii Langa afariki Dunia!

Msanii Langa afariki Dunia!

MwanaFA na jide wasipoahirisha show zao sijui wataelewekaje? Ukianza malizia!
 
hivi ni stress au ni starehe tu inafanya mtu atumie drugs?? duh sasa tunapata picha ya nini kinaendelea nyuma ya pazia la hawa 'ma xelebrity' wa bongo. Zamani wazazi waliwakanya watori wao kuimba bongo flava coz ilikuwa regarded ni uhuni, Kwa kizazi cha sasa wazazi na walezi wawapige stop watoto kupenda usanii coz wataishia kuwa mateja.! so so sad lol
 
Alipelekwa muhimbili akiwa hajitambui....na damu zikimtoka puani..akitokea kinondoni hospitali. ...inasemekana alitoweka kwao na kwenda kuishi kitaa kwa mshikaji ambae ni mla unga mzuri..na alianzia kuumwa akiwa kwa mshkaji..familia baada ya kumkuta ndo ilimkimbiza hospital kinondoni na kuhamishiwa muhimbili akikoroma tu...R.I.P
 
Usalama wataifa wanapambana na Chadema kazi za msingi awafanyi.
Hivi huu unga unao wafanya vijana wetu kuwa mapanya unapitia wapi?
Kazi ya UWT ni nini sasa.
 
Smile anasema ni ugonjwa wa kuku KIDERI unawamaliza wasanii
 
Nasikia ray c nae karudi mule.mule....
Wat so special in drugs...mpk unanogewa hivi
 
hawa jamaa wa nn cku izi???whenr you all gonna stop using tht hapa ni bongo jaman sio U.S.A....dah!!
 
Usalama wataifa wanapambana na Chadema kazi za msingi awafanyi.
Hivu huu unga unao wafanya vijana wetu kuwa mapanya unapitia wapi?
Kazi ya UWT ni nini sasa.

Kweli wanaboa sana ebu ona vijana bado wadogo kabisa eti leo hatunao tena!! Inaumiza sana
 
usalama wataifa wanapambana na chadema kazi za msingi awafanyi.
Hivu huu unga unao wafanya vijana wetu kuwa mapanya unapitia wapi?
Kazi ya uwt ni nini sasa.

"madawa ya kulevya yanaua taifa la leo ni nani anayeyaingiza? Basi tuweke mitandao"-oh riz1 ongea na mshua
 
Back
Top Bottom