Msanii linex aka lunenga kapotelea wapi

Msanii linex aka lunenga kapotelea wapi

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Jamani wenye update dogo alikuwa na radha take ya kiafrica halisi ,na moja ya watu waliotoka muda sasa na mondi asee,mtujuze you wapi
 
Kijana hakuiheshimu kazi yake,bange na starehe za kuiga vime mpoteza ,

Nafasi ya kurekebisha bado anayo sababu kipaji anacho,
kazi ni kwake tu Linenga Mjenda
fanya urudi na remix ya Kimugina basi
 
Tangu alipoolewa na mzungu na kuachika amepoteza dira
 
Linex Sande mjeda moja ya wasanii ninaowakubali sana hapa tz
 
Daah Linex ana ladha fulani hivi tamu balaa
 
Huyu zake ni kwenda kwenye mahotel anakaa hata Mwezi mwisho wa siku anakimbia bila kulipa hata sent moja na anakuwa hana hela kweli.
 
Back
Top Bottom