Msanii linex aka lunenga kapotelea wapi

Msanii linex aka lunenga kapotelea wapi

Muziki ni kitu kingine hakitaki blaa blaa,weka ela upate ela
 
Wanamuziki kazi yao kuongeza masifuri tu kwenye kila wanacholipwa sasa sijui huwa wanamdanganya nani!.....nyuma ya pazia wanatia huruma!
 
Sunday Mjeda kama vipi tukatane samaki samki ndio kiwanja nachopenda x2
 
Back
Top Bottom