Msanii Linex anayedaiwa deni Kibona Hotel awatukana Watangazaji wa SHILAWADU tusi hili....

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Muda mfupi tu uliopita ' Msanii ' wa Bongo Fleva Linex wakati akiwa ' anahojiwa ' katika Simu na Watangazaji wa Kipindi ' maarufu ' cha SHILAWADU juu ya ' deni ' kubwa la Tsh 943,000/ analodaiwa na Kibona Hotel na ambalo pamoja na ' ubrazameni ' wake wote ameshindwa ' kulilipa ' alipobanwa na swali alijikuta ' akihamaki / akikasirika ' na kuwatukana ashakum si matusi alianza na bonge la ' msonyo ' wa ' kutukuka ' na akamalizia kwa kuwaambia namnukuu..." nyie Wasenge nini ".

Hivi Wewe Linex hujui kuwa hiyo ' show ' ya SHILAWADU si tu inatizamwa bali pia inapendwa sana na Mheshimiwa Rais wetu wa JMT Dkt. Magufuli? Hivi hujui kuwa ' kuwatukana ' Watangazaji wa SHILAWADU kuwa ni ' Wasenge ' basi ' automatically umeshatutukana hadi na sisi ' Watazamaji ' wote pamoja na ' Taita ' huyo mtajwa hapo juu wa Magogoni?

Tafadhali TCRA naomba mumchukulie hatua ' Kali ' za ' Kinidhamu ' huyu Msanii Linex ili liwe fundisho kwa ' Wapumbavu ' wengine ambao wanadhani kuwa ' Msanii ' maarufu nchini basi ndiyo kibali cha wao kuwa juu ya ' Sheria '.

Ila TCRA kama basi mtashindwa au kuogopa kumchukulia hatua ' Kali ' za Kinidhamu huyu Msanii Linex basi tuambieni ili tuwape ' rukhsa ' wale ' Watekaji ' wa Ununio mkabala na Mahaba Beach ' wamteke ' ili wakamfundishe jinsi ya kuwa na ' adabu ' na akitupwa barabarani baada ya kuachiwa pengine atakuwa ameshajirekebisha.

Na nyie Clouds tv hasa ' Watangazaji ' wa Kipindi cha SHILAWADU jaribuni sana kuhakikisha kuwa Watu ambao mnafanya nao ' interview ' wana ' akili ' sawasawa kwani yawezekana kuna wengine ambao huwa mnawahoji tayari ni ' matahaira ' tokea huko majumbani Kwao hivyo ' matusi ' kama haya yanaweza kuwashushia ' Heshima ' hata nyie kama ambavyo ' Msanii ' Linex amefanya leo kwa kuwatukana tusi la ' Wasenge ' mubashara kabisa.

Nawasilisha.
 
weka na habari ya mond

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
jpm anapenda shilawadu
then anasema wa tz tuache umbea
tupige kaz
namuonea huruma linex kagusa pabaya

sent from aifoni seveni plasi
 
Tena ukizingatia kipindi hiki Mheshimiwa yupo likizo anaangalia kipindi chake pendwa

TCRA tafadhalini fanyeni ' Kazi ' yenu haraka na upesi sana kwa huyu ' Msanii ' wa hovyo hovyo Linex.
 
jpm anapenda shilawadu
then anasema wa tz tuache umbea
tupige kaz
namuonea huruma linex kagusa pabaya

sent from aifoni seveni plasi

Mkuu yaani wote hadi ' Taita ' wa ' Magogoni ' aliyepo likizoni ' TOCHA ' ambao kwa pamoja ' tulikodolea ' nae Kipindi cha SHILAWADU tumeambiwa ' Wasenge '. Yaani TCRA msipomchukulia hatau ' Kali ' huyu ' Msanii ' Linex nadhani mtakuwa mmetukosea sana adabu ' Watanzania ' na ' Watazamaji ' wote wa Clouds tv.

Tafadhali ' Kinukisheni ' kwa Linex.
 
Wewe kutamka neno,nanukuu"Wapumbavu" pia "Matahira" sheria imekuruhusu peke yako ufanye hivyo ama?

Mgonjwa hawezi msaidie mgonjwa mwenzie!

sent by IPhone 6 using jamii forum app
 
TCRA wamshughulikie mtu anae "ingiliwa personal life yake" kipaparazi?
Alaf ni kosa kuhoji watu mambo binafsi na kurusha "live"....

Hata wangenihoji ningewachana tu.... Kudaiwa kwani ni dhambi?

Mnakosa kazi
 
We nawe sometimes kama msenge, sasa TCRA wamchukulie hatua Linex au Clouds? Nani aliwaambia KWAMBA kipindi ni live? Si wanapagawa kuki hariri? Kile ni semi-live..AF eti nyoko fyoko nna degree ya mass communication..pumbav sana we mwanamke! Karibu mlima wa moto!
 
ata ivyo kawatukana kidogo sana

lazima tulipe kodi

Mkuu kutuita ' Wasenge ' tena ' mubashara ' vile ni ' Tusi ' dogo? au Wewe labda ndiyo Linex mwenyewe? Sasa jua kwamba umekanyaga ' waya ' kwani hata ' Taita ' Mkuu wa ' Magogoni ' aliangalia na mpaka sasa anaangalia tena huku akiwa ameweka kabisa ' Headphones ' zake hivyo hata hilo ' Tusi ' lako kalisikia ' kunakotukuka '. TCRA mkiacha kumchukulia hatua ' Kali ' za ' Kinidhamu ' mtakuwa ' mmebariki ' hata Mheshimiwa ' Taita ' wetu Mkuu wa ' Magogoni ' nae ' Kutukanwa ' hivyo.

Yaani kama namuona vile Baba Jesca ( Taita wa Magogoni ) na hilo ' Tusi ' la ' Msanii ' Linex ' kwa jinsi alivyolipokea.
 
walimwambia tuko live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…