GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Muda mfupi tu uliopita ' Msanii ' wa Bongo Fleva Linex wakati akiwa ' anahojiwa ' katika Simu na Watangazaji wa Kipindi ' maarufu ' cha SHILAWADU juu ya ' deni ' kubwa la Tsh 943,000/ analodaiwa na Kibona Hotel na ambalo pamoja na ' ubrazameni ' wake wote ameshindwa ' kulilipa ' alipobanwa na swali alijikuta ' akihamaki / akikasirika ' na kuwatukana ashakum si matusi alianza na bonge la ' msonyo ' wa ' kutukuka ' na akamalizia kwa kuwaambia namnukuu..." nyie Wasenge nini ".
Hivi Wewe Linex hujui kuwa hiyo ' show ' ya SHILAWADU si tu inatizamwa bali pia inapendwa sana na Mheshimiwa Rais wetu wa JMT Dkt. Magufuli? Hivi hujui kuwa ' kuwatukana ' Watangazaji wa SHILAWADU kuwa ni ' Wasenge ' basi ' automatically umeshatutukana hadi na sisi ' Watazamaji ' wote pamoja na ' Taita ' huyo mtajwa hapo juu wa Magogoni?
Tafadhali TCRA naomba mumchukulie hatua ' Kali ' za ' Kinidhamu ' huyu Msanii Linex ili liwe fundisho kwa ' Wapumbavu ' wengine ambao wanadhani kuwa ' Msanii ' maarufu nchini basi ndiyo kibali cha wao kuwa juu ya ' Sheria '.
Ila TCRA kama basi mtashindwa au kuogopa kumchukulia hatua ' Kali ' za Kinidhamu huyu Msanii Linex basi tuambieni ili tuwape ' rukhsa ' wale ' Watekaji ' wa Ununio mkabala na Mahaba Beach ' wamteke ' ili wakamfundishe jinsi ya kuwa na ' adabu ' na akitupwa barabarani baada ya kuachiwa pengine atakuwa ameshajirekebisha.
Na nyie Clouds tv hasa ' Watangazaji ' wa Kipindi cha SHILAWADU jaribuni sana kuhakikisha kuwa Watu ambao mnafanya nao ' interview ' wana ' akili ' sawasawa kwani yawezekana kuna wengine ambao huwa mnawahoji tayari ni ' matahaira ' tokea huko majumbani Kwao hivyo ' matusi ' kama haya yanaweza kuwashushia ' Heshima ' hata nyie kama ambavyo ' Msanii ' Linex amefanya leo kwa kuwatukana tusi la ' Wasenge ' mubashara kabisa.
Nawasilisha.