TANZIA Msanii maarufu Bi Hindu amefariki Dunia leo Julai 9, 2022

Bi Hindu, amenifundisha kupambana hata kama umri umeenda...

Pamoja na kuwa na umri mkubwa bado Bi Hindu alijituma kufanya kazi...

Ameacha alama ya kupambana na kujituma bila kujali umri...


R.I.P Bi Hindu
 
Kama alikuwa na Yesu Kristo basi yupo mahali salama na kwa hakika anao uzima wa milele.
 
Wote temepanga foleni kwenye mstari mmoja wa kupanda basi. Hakuna aliyetoka kwenye line wala kurudi nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…