Raia mdogo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2018
- 1,387
- 1,518
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenifanya nisahau kilichopo.Hili neno Tanzia na Tanzania yapo karibu sana! usikute tulijipiga pini kwenye hili jina
Eliya na Enoko hawakupanga foleniWote temepanga foleni kwenye mstari mmoja wa kupanda basi. Hakuna aliyetoka kwenye line wala kurudi nyuma
Kuleta mambo ya dini kwenye ishu zisizohitaji mambo hayo ni utoto.Kama alikuwa na Yesu Kristo basi yupo mahali salama na kwa hakika anao uzima wa milele.
Onyesha jambo la dini hapo.Kuleta mambo ya dini kwenye ishu zisizohitaji mambo hayo ni utoto.
Hata Mimi nakumbuka miaka 3 nyuma kwamba kafarikiNiliwahi kusikia mwaka fulani amefariki,kumbe ilikuwaga ni uzushi tu!
Mungu awape uvumilivu familia yake.
Poleni sana wafiwa
Umevurugwa wee.Kama alikuwa na Yesu Kristo basi yupo mahali salama na kwa hakika anao uzima wa milele.
Alikuwa anaupenda kweli huo msemo, na ule wa "samli leo imegeuka mafuta ya taa"Nikikumbuka maneno yake “Wafadhilaka wapundaka “alikua ananikosha sana alipokua kaole,,,,,, Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Ameen [emoji1374]
Hadithi za sungura na fisi hizo.Eliya na Enoko hawakupanga foleni