TANZIA Msanii maarufu Bi Hindu amefariki Dunia leo Julai 9, 2022

Mungu amlaze mahali pema
 
Chuma Kama jina lake
Allah amrehemu.
vipaji vinaondoka
 
R.I.p Mwanasimba mwenzangu
Hakika kila nafsi itaonja umauti
 
Nikikumbuka maneno yake “Wafadhilaka wapundaka “alikua ananikosha sana alipokua kaole,,,,,, Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Ameen [emoji1374]
Alikuwa anaupenda kweli huo msemo, na ule wa "samli leo imegeuka mafuta ya taa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…